-
Syria: Silaha za nyuklia za Israel zinatishia amani magharibi mwa Asia
Jan 28, 2022 07:01Mwakilishi wa Syria katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amezitaja silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa usalama na amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Maandamano ya Wasudani kupinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya nchi hiyo
Jan 27, 2022 08:22Raia wa Sudan wanaendelea kufanya maandamano wakipinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya nchi yao na wamemtaka mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo.
-
Rais wa utawala haramu wa Israel kuitembelea Imarati
Jan 26, 2022 08:45Rais wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu wiki ijayo.
-
Mwakilishi wa Iran UN asifu maendeleo 'muhimu' ya kuwawezesha wanawake nchini licha ya vikwazo vya Marekani
Jan 19, 2022 07:16Iran imepongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana hapa nchini katika kuwawezesha wanawake na wasichana, licha ya vikwazo vya Marekani vilivyo kinyume cha sheria na vya kinyama vinavyolenga nchi hiyo.
-
Rais wa Algeria: Kuitetea Palestina ni kipaumbele cha serikali ya Algiers
Jan 18, 2022 23:56Rais wa Algeria ametangaza kuwa nchi yake itaendelea kulitetea taifa la Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Jenerali Haftar, mbabe wa kivita wa Libya aitembelea Israel
Jan 16, 2022 04:24Mbabe wa kivita na jenerali muasi wa Libya Khalifa Haftar ameripotiwa kufanya safari ya siri ya kuutembelea utawala wa Kizayuni wa Israel, huku duru za habari zikieleza kuwa maafisa wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wanaandamwa na mashinikizo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia.
-
Waigizaji maarufu wamuunga mkono mwenzao aliyewatetea Wapalestina
Jan 14, 2022 21:22Makumi ya waigizaji nyota wa filamu duniani wamejitokeza na kutangaza kumuunga mkono muigizaji mwenzao wa Uingereza, Emma Watson, ambaye hivi karibuni alishambuliwa vikali na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram ujumbe wa kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Waziri Mkuu wa Libya akanusha madai ya kukutana na maafisa wa Israel
Jan 13, 2022 23:35Kaimu Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa ya Libya amekadhibisha madai kuwa amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na kiongozi wa Hamas mjini Doha
Jan 12, 2022 01:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na Ismail Haniyeh kiongozi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.
-
Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, wanapinga ufadhili wa Israel
Jan 07, 2022 23:19Zaidi ya wasanii 20 hadi sasa yamejiondoa kwenye Tamasha la Sydney 2022 kupinga mchango wa kifedha uliotolewa na ubalozi wa utawala haramu wa Israel nchini Australia kwa moja ya maonyesho ya tamasha hilo.