-
Palestina: Baadhi ya mataifa ya Waislamu yamekataa kufanya mapatano na Israel licha ya mashinikizo ya Marekani
Jan 06, 2022 00:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, baadhi ya mataifa ya Waislamu yamelikataa takwa la Marekani la kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Utawala wa Israel wabomoa kituo cha afya cha Wapalestina
Jan 04, 2022 23:06Utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa kituo cha afya na majengo mengine kadhaa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Waziri wa zamani wa uchukuzi Israel atoa wito wa kuuliwa kigaidi viongozi wa Hamas
Jan 02, 2022 23:06Waziri wa zamani wa Israel ametoa wito wa kuuawa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh na Yahya Sinwar, kufuatia makombora mawili yaliyorushwa na Hamas ambayo Wazayuni wanadai yameanguka baharini.
-
Jeshi la Israel liliua raia 357 Wapalestina mwaka 2021
Jan 02, 2022 01:07Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia.
-
Muqawama: Israel italipa gharama kubwa kwa uvamizi wowote dhidi ya Aqsa
Dec 31, 2021 23:29Makundi ya Muqawama ya Palestina yamesema luteka ya pamoja ya kijeshi iliyofanywa hivi karibuni na makundi ya mapambano ya Kiislamu katika Ukanda wa Gaza ilikuwa na ujumbe wa wazi kwamba, shambulio lolote dhidi ya Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa litapelekea Israel kulipa gharama kubwa.
-
HAMAS: Njama mpya za Israel huko Golan ni hujuma dhidi ya Waarabu
Dec 29, 2021 04:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Miinuko ya Golan ya Syria ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Waarabu wote.
-
Abbas akosolewa kwa kujidhalilisha mbele ya Waziri wa Vita wa Israel
Dec 29, 2021 04:12Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekosolewa vikali kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran
Dec 29, 2021 01:02Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amewashauri maadui wasithubutu kupima uwezo wa kijeshi wa Iran kwa kufanya chokochoko kwani hawataweza kustahamili gharama za vita vya pande zote na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Palestina yataka jamii ya kimataifa izuie ugaidi wa Israel
Dec 18, 2021 09:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura za kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe vitendo vya kigaidi vinavyotekelezwa na walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Safari ya Bennett Imarati; sambamba na mazungumzo ya Vienna na mkutano wa Riyadh
Dec 14, 2021 09:21Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Jumapili usiku aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi na kulakiwa na Abdallah bin Zayed al-Nahyan, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Imarati.