-
Mwito watolewa wa kuligeuza jengo la Arab League kuwa ukumbi wa harusi
Sep 14, 2020 02:32Wanaharakati wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii ya kutaka jengo la makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaliyoko nchini Misri ligeuzwe kuwa ukumbi wa harusi.
-
Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 14, 2020 02:03Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel ni fedheha na kujidhalilisha
Sep 12, 2020 07:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa hatua ya kuanzishwa uhusiano rasmi wa kidiplomasia kati ya Bahrain na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni cha fedheha na kudhalilisha.
-
Jordan: Ufunguo wa amani Asia Magharibi ni kutoghusubiwa ardhi za Wapalestina
Sep 12, 2020 06:57Jordan imesema njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Palestina na kupatikana amani ya kudumu katika eneo la Asia Magharibi ni kukomesha mienendo ya utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupora na kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Ismail Haniya: Kutolaani kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel ni kuhudumia maslahi ya Wazayuni
Sep 11, 2020 00:15Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kupingwa muswada wa Palestina kuhusu kulaaniwa uanzishaji uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni kuhudumia maslahi ya utawala huo ghasibu.
-
Indhari ya Umoja wa Ulaya kwa Serbia na Kosovo kuhusu kuhamishia na kufungua balozi zao Quds
Sep 08, 2020 06:36Moja ya hatua zilizochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani katika kutoa huduma kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuutambua mji wa Baytul-Muqaddas kama mji mkuu wa utawala huo ghasibu na kuhamishia ubalozi wake katika mji huo Mei mwaka 2018, hatua ambayo ilikabiliwa na upinzani wa walimwengu.
-
Wabunge Amerika ya Latini wataka kususiwa utawala wa Kizayuni
Sep 07, 2020 22:06Wabunge wa baadhi ya nchi za Amerika ya Latini wametaka kutungwe sheria za kuususia na kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mpango wa utawala huo ghasibu wa kutaka kuteka ardhi zaidi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Malalamiko ya Sudan kuhusu mashinikizo ya Marekani ya kuwa na uhusiano na Israel
Sep 06, 2020 07:12Serikali ya Trump muda wote imekuwa ikijionesha ni mtumishi asiye na doa wa malengo ya utawala wa Israel na imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kama kuzilazimisha nchi za Kiarabu na za Waislamu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo wa Kizayuni. Hata hivyo baadhi ya nchi kama Sudan zimeamua kupinga na pia kukabiliana na njama hizo.
-
Imarati kufungua ubalozi wake Israel ndani ya miezi 5
Sep 05, 2020 06:53Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu amesema nchi hiyo inatazamiwa kufungua ubalozi ndani ya utawala haramu wa Israel katika kipindi cha kati ya miezi mitatu hadi mitano.
-
Netanyahu: Tunafanya mazungumzo ya siri na nchi nyingi za Kiarabu
Aug 31, 2020 08:11Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv hivi sasa inafanya mazungumzo ya siri na viongozi wengine wengi wa nchi za Kiarabu, juu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi hizo.