-
Tamim: Wakati umefika wa kuweka wazi uhusiano wa Israel na Waarabu
Jun 07, 2020 22:05Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi la Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu ameibua mijadala na wimbi la malalamiko baada ya kutoa mwito kwa nchi za Kiarabu kuufanya wa kawaida uhusiano wao na utawala haramu wa Israel.
-
Hamas yalaani mashambulizi ya Israel nchini Syria
Jun 05, 2020 03:26Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani mashambulizi ya makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Syria.
-
Jihad Islami: Tawala za Israel na Marekani ni za kibaguzi na kigaidi
Jun 01, 2020 21:56Mjumbe wa Idara ya Siasa ya harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Israel ni tawala za kibaguzi na kigaidi ambazo zilianzishwa kwa msingi wa kuvamia, kuua, kufanya ubaguzi na kuwanyonya wanadamu.
-
Familia: Mpalestina aliyeuawa na jeshi la Israel alikuwa mlemavu
May 31, 2020 06:58Kijana wa Kipalestina aliyeuawa jana Jumamosi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kupigwa risasi katika mji mtakatifu wa Quds alikuwa mlemavu.
-
Sayyid Nasrullah: Utawala wa kibaguzi wa Israel utaangamia
May 27, 2020 03:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utasambaratika na kuangamia na kwamba matukio yote yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi yapo dhidi ya maslahi ya utawala huo pandikizi.
-
Rais wa Iran aidhinisha sheria ya kukabili jinai za Israel
May 26, 2020 23:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameidhinisha kuwa sheria, muswada wa kukabiliana na uhasama na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.
-
Ansarullah yafichua nafasi ya Israel na US katika mashambulizi dhidi ya Yemen
May 24, 2020 05:12Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya nchini Yemen amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni washirika wa muungano vamizi wa kijeshi unaofanya mashambulizi dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Onyo la Russia kuhusu madhara ya hatua za Wazayuni dhidi ya Palestina
May 24, 2020 02:39Hatua zilizo kinyume cha sheria na zisizo za kibinadamu za Israel dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina zimepamba moto sana katika miaka ya hivi karibuni. Mbali na kuwaua Wapalestina hasa katika Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni umeongeza sana kasi ya kupora ardhi za Wapalestina na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Zarif: Utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mvunjaji mkubwa wa haki za binadamu duniani
May 22, 2020 03:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.
-
Palestina yakataa misaada ya Imarati iliyotumwa kupitia Tel Aviv
May 22, 2020 03:32Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekataa kupokea misaaada iliyotumwa nchini humo na Umoja wa Falme za Kiarabu kupitia uwanja wa ndege wa Tel Aviv.