-
Ujumbe wa jumuiya za Mayahudi watembelea Saudia kwa siri na kufanya mazungumzo katika kasri la Mfalme Salman
Feb 15, 2020 23:20Kanali ya Kwanza ya televisheni ya Israel imetangaza kuwa ujumbe uliojumuisha viongozi wa jumuiya za Kiyahudi za Marekani ulitembelea Saudi Arabia siku za hivi karibuni na kupokewa katika kasri la Mfalme Salman bin Abdul Azizi Aal Saud mjini Riyadh.
-
Rais Abbas kwa Baraza la Usalama: Muamala wa Karne unakiuka maazimio ya UN
Feb 12, 2020 04:10Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa, mbali na mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani uliopewa jina la Muamala wa Karne kukanyaga maazimio ya umoja huo, pia unakiuka mamlaka na uhuru wa kujitawala Palestina.
-
Wajumbe zaidi ya 100 wa Baraza la Wawakilishi Marekani waukataa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Feb 08, 2020 09:27Wajumbe 107 wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua rais wa nchi hiyo Donald Trump wakiupinga vikali mpango wake alioupa jina la "Muamala wa Karne".
-
Ndege za kivita za Israel zatumia ndege ya abiria kama ngao Syria
Feb 07, 2020 23:28Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege za kijeshi za utawala haramu wa Israel zimetumia ndege ya abiria kama ngao ya kujikinga katika uvamizi wake mpya dhidi ya Syria.
-
Waziri Mkuu wa Sudan aghadhabishwa na mkutano wa Burhan na Netanyahu
Feb 05, 2020 21:49Waziri Mkuu wa Sudan amekosoa vikali mkutano wa Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina
Feb 05, 2020 04:23Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina
-
Mkutano wa siri wa Marekani, UAE na Israel kujadili njama dhidi ya Iran
Feb 05, 2020 04:19Kumefanyika mkutano wa siri kati ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kujadili njama dhidi ya Iran.
-
Juhudi za utawala haramu wa Israel za kutafuta washirika barani Afrika
Feb 05, 2020 03:25Ikiwa ni katika kuendeleza juhudi zake za kuwa na ushawishi na kutafuta washirika kwa minajili ya kutekeleza siasa zake za kivamizi, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu amekutana na kufanya mazungumzo mjini Entebe Uganda na Luteni Jenerali Abdul-Fattah al-Burhan, Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan.
-
EU yapinga njama za Trump dhidi ya Wapalestina
Feb 05, 2020 01:16Umoja wa Ulaya umepinga mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambao unakandamiza haki za taifa la Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" ukisisitiza kuwa, mpango huo unakanyaga sheria za kimataifa.
-
Arab League yapinga "Muamala wa Karne", yatoa onyo kali kwa Israel
Feb 02, 2020 07:28Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wamepinga mpango eti wa amani uliopendekelezwa na Marekani kwa ajili ya mgogoro wa Wapalestina na utawala wa kizayuni wa Israel maarufu kwa jina la "Muamala wa Karne".