-
Iran yatahadharisha: Israel inaunda muungano na magaidi
Mar 29, 2019 11:31Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetahadharisha kuwa, utawala ghasibu wa Israel, ambao unatoa uungaji mkono kwa magaidi nchini Syria, unaweza kuunda muungano na magaidi hao iwapo tishio lao halitashughulikiwa ipasavyo.
-
Mkuu wa zamani wa jeshi la utawala wa Kizayuni: Ni aibu kwa Israel kushindwa kukabiliana na HAMAS
Mar 29, 2019 00:08Mkuu wa zamani wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, dalili za wazi za ushindi wa Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimeonekana baada ya Hania kujitokeza mbele ya ofisi yake mjini Ghaza licha ya Israel kuishambulia ofisi hiyo na kwamba hiyo ni aibu kwa utawala wa Kizayuni.
-
Imarati yazitaka nchi za Kiarabu ziboreshe uhusiano na utawala katili wa Israel
Mar 29, 2019 00:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati ameziasa nchi za Kiarabu ziimarishe uhusiano wao na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Syria yalitaka Baraza la Usalama la UN liitishe mkutano wa dharura kuhusu Golan
Mar 27, 2019 11:38Serikali ya Syria imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liitishe kikao cha dharura cha kujadili hali ya hivi sasa ya Miinuko ya Golan, kufuatia hatua ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi miinuko hiyo kuwa ni mali na miliki ya utawala haramu wa Israel.
-
Nia ovu ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwasha moto wa vita Asia Magharibi
Mar 27, 2019 08:11Katika kukaribia uchaguzi wa mapema wa bunge katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, kwa mara nyingine Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Kizayuni, Israel ameanza kupiga ngoma ya vita katika eneo la Mashari ya Kati (Asia Magharibi).
-
Syria: Tangazo la Trump kuhusu Golan haliwezi kubadilisha chochote
Mar 26, 2019 03:02Syria imesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kutambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa milki ya utawala haramu wa Israel katu haiwezi kubadilisha ukweli kwamba miinuko hiyo ni mali halali ya Syria.
-
"Chuki dhidi ya Iran" (Iranophobia) ni sera ya pamoja ya Marekani na Utawala wa Kizayuni
Mar 25, 2019 07:57Jitihada za kushadidisha "Chuki dhidi ya Iran" (Iranophobia) ni ajenda daima ya sera za pamoja na utawala wa Kizayuni wa Israel. Maudhui hii ni moja kati ya ajenda muhimu ambazo Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anafuatilia katika safari yake nchini Marekani.
-
Golan, sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Syria
Mar 24, 2019 07:46Hivi karibuni na kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, Rais Donald Trump wa Marekani alidai kuwa utawala haramu wa Israel unayo mamlaka ya utawala wa miinuko ya Golan.
-
New York Times: Mshauri wa Bin Salman alisaidiwa na mashirika ya ujasusi ya Kizayuni
Mar 22, 2019 20:01Gazeti la New York Times limetangaza kwamba, mshauri wa zamani wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia alisaidiwa na shirika la ujasusi la Kizayuni kwa ajili ya kufanya ujasusi katika nchi kadhaa za Ulaya na Asia.
-
Kuzidi kutengwa Marekani baada ya Ulaya kupinga madai ya Trump kuhusu milima ya Golan ya Syria
Mar 22, 2019 19:59Utawala wa Kizayuni wa Israel una historia ndefu ya kuvamia na kukalia kwa mabavu ardhi za watu wengine. Utawala huo pandikizi na vamizi ulishambulia na kuteka milima ya Golan ya Syria katika vita vya siku sita vya mwaka 1967.