-
Utawala wa Kizayuni wa Israel; nembo ya wazi ya jinai dhidi ya binadamu
Mar 21, 2019 01:11Kamati ya Kutafuta Ukweli ya Umoja wa Mataifa imetoa ripoti kuhusiana na maandamano yaliyoanza mwaka 2018 katika mpaka wa Gaza, uvamizi na ukandamizaji wa Israel na kutoa orodha ya Wazayuni ambao imewatuhumu kwa kutenda jinai hatari katika matukio hayo.
-
Iran yakanusha vikali madai ya kudukua simu za Wazayuni
Mar 20, 2019 04:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha vikali madai ya utawala haramu wa Israel kwamba Tehran imedukua mawasiliano ya simu ya maafisa wa Kizayuni.
-
UN yailaani Israel kwa kuwapokonya Wapalestina rasilimali
Mar 18, 2019 23:34Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina Michael Lynk amesema upokonyaji wa maliasili za Wapalestina unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika maeneo ya Palestina ni uporaji wa wazi.
-
Palestina: Ripoti ya Marekani inadhihirisha uhasama wao kwa Wapalestina
Mar 15, 2019 12:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani vikali hatua ya Marekani ya kudondosha maneno "inayokaliwa kwa mabavu na Israel" kuashiria Miinuko ya Golan, na "maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu" katika ripoti yake mpya haki za binadamu ya kila mwaka.
-
Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel
Mar 15, 2019 03:51Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.
-
Vijana wa Kipalestina waendelea kuuawa shahidi na askari katili wa Israel
Mar 13, 2019 04:34Utawala katili wa Israel umeendelea kumwaga damu za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wanajeshi wa Israel wampiga risasi na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina
Mar 10, 2019 10:45Kijana wa Kipalestina ameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Afrika Kusini kupunguza uhusiano wake na Israel, yawaunga mkono Wapalestina
Mar 09, 2019 11:45Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi yake inapanga kupunguza hadhi ya ubalozi wake katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kutokana na ukiukaji wa haki za Wapalestina unaofanywa na utawala haramu wa Israel.
-
UN yaiokosoa Israel kwa kupinga ripoti ya mauaji ya Wapalestina Gaza
Mar 06, 2019 23:23Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Israel kupinga ripoti ya wataalamu wa umoja huo kuhusu mauaji ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yaliyofanywa na askari katili wa utawala huo haramu.
-
Palestina yapuuza agizo la mahakama ya Israel la kufunga lango la Msikiti wa al-Aqsa
Mar 06, 2019 10:25Mamlaka ya Wakfu wa Kidini ya Palestina imepuuzilia mbali agizo lililotolewa na mahakama ya utawala wa Kizayuni wa Israel la kuitaka ifunge moja ya malango muhimu ya Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.