-
Mayahudi waandamana kuunga mkono taifa la Palestina
May 28, 2017 09:09Maelfu ya Mayahudi wamefanya maandamano mjini Tel Aviv kuunga mkono kuundwa taifa huru la Palestina sambamba na kulaani miaka 50 ya utawala haramu wa Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Israel: Hatuhitaji baraka za Marekani kughusubu ardhi zaidi za Palestina
May 25, 2017 09:39Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv haihitaji baraka wala ruhusu ya Marekani ili kuendeleza ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Saudia mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha za Marekani, Israel mpokezi mkubwa zaidi wa misaada ya kijeshi ya Marekani
May 23, 2017 02:33Utawala wa Kizayuni wa Israel umebainisha wasiwasi wake kuhusu Marekani kuiuzia Saudi Arabia silaha zenye kugharimu mabilioni ya dola katika hali ambayo Israel yenyewe inapokea misaada ya silaha za kisasa zaidi kutoka Marekani.
-
Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji kwa kuipatia Mamlaka ya Ndani ya Palestina motisha za kiuchumi
May 18, 2017 10:35Utawala wa Kizayuni wa Israel unapanga kuipatia motisha za kiuchumi Mamlaka ya Ndani ya Palestina ili uweze kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi bila ya malalamiko na upinzani wa mamlaka hiyo.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel yawekwa katika 'orodha nyeusi' na Sweden
May 17, 2017 23:14Sweden imeiweka Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika orodha yake nyeusi ya mtandao wa kijamii.
-
Israel: Wakati umefika wa kumuua Rais Assad wa Syria
May 17, 2017 09:32Waziri wa Nyumba na Ujenzi wa utawala haramu wa Israel amesema wakati umefika Rais Bashar al-Assad wa Syria auawe kutokana na eti jinai anazowafanyia wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
US: Lengo la safari ya Trump Mashariki ya Kati ni dhidi ya Iran
May 15, 2017 03:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema lengo kuu la safari ya wiki ijayo ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika eneo la Mashariki ya Kati ni kwa ajili ya kuunda 'umoja' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wapalestina waadhimisha Siku ya Nakaba chini ya anga ya mgomo wa kula
May 14, 2017 02:44Wapalestina kote duniani wanaadhimisha Siku ya Nakba hii leo, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 69 tangu ulipoundwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.
-
Wafanyakazi wa Norway wasusia bidhaa za utawala wa Israel
May 13, 2017 09:05Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina bega kwa bega na Israel katika kuuhujumu Ukanda wa Gaza
May 12, 2017 22:02Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeifunga ofisi yake katika Ukanda wa Gaza na kukabidhi mamlaka ya uendeshaji wake kwa ofisi ya jumuiya hiyo iliyoko Ramallah, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.