Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mgawanyiko katika jeshi la Israel huku mashambulio dhidi ya Gaza yakiendelea

    Mgawanyiko katika jeshi la Israel huku mashambulio dhidi ya Gaza yakiendelea

    Apr 10, 2025 22:33

    Kundi la askari wa akiba wa jeshi la anga la Israel limefukuzwa kazi baada ya kutia saini waraka wa kutaka kusitishwa vita dhidi ya Gaza na kurejeshwa kwa mateka wa utawala huo haramu.

  • Wapalestina wengine 40 wauawa shahidi Gaza na mabomu ya Wazayuni

    Wapalestina wengine 40 wauawa shahidi Gaza na mabomu ya Wazayuni

    Apr 09, 2025 23:24

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kumwaga damu za Wapalestina; ambapo umewauwa Wapalestina karibu 40 wakiwemo watoto katika mashambulizi ya anga ya karibuni katika maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.

  • Wanahabari Nigeria wataka Israel iwekewe vikwazo vya mafuta, gesi

    Wanahabari Nigeria wataka Israel iwekewe vikwazo vya mafuta, gesi

    Apr 09, 2025 23:23

    Mwenyekiti wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa Nigeria (NUJ), Ibrahim Muhammad, ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuungana na kutumia nguvu zao za kiuchumi, hususan mafuta na gesi, kama nyenzo ya kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel na Marekani huko Palestina na kwingineko.

  • Waisraeli waandamana kupinga kuanza tena vita vya Gaza

    Waisraeli waandamana kupinga kuanza tena vita vya Gaza

    Apr 08, 2025 03:11

    Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika mitaa ya Tel Aviv kushiriki katika maandamano mapya ya kupinga serikali ya utawala haramu wa Israel, wakati ambapo Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu alipokutana na Rais wa Marekani, Donald Trump mjini Washington.

  • UNICEF: Watoto zaidi ya milioni moja Ghaza wamekosa misaada kwa zaidi ya mwezi mmoja

    UNICEF: Watoto zaidi ya milioni moja Ghaza wamekosa misaada kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Apr 06, 2025 03:11

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada ya kibinadamu wakati huu ambapo utawala ghasibu wa Israel umezuia kikamilifu misaada yote ya kibinadamu ya kuokoa maisha kuingizwa katika eneo hilo.

  • Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel

    Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel

    Apr 03, 2025 03:37

    Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan; hususan katika sikukuu za Idul-Fitri, na kutaka hatua zichukuliwe dhidi ya ukiukaji wa haki zinazofanywa na utawala huo ghasibu.

  • Watoto zaidi ya 300 wameuawa katika mashambulizi mapya ya Israel Gaza

    Watoto zaidi ya 300 wameuawa katika mashambulizi mapya ya Israel Gaza

    Apr 01, 2025 07:08

    Mamia ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze tena operesheni za kijeshi katika Ukanda wa Gaza.

  • Kuongezeka hatua za Trump dhidi ya vyuo vikuu na wanafunzi wanaowatetea Wapalestina

    Kuongezeka hatua za Trump dhidi ya vyuo vikuu na wanafunzi wanaowatetea Wapalestina

    Mar 30, 2025 03:35

    Katika muhula wake wa pili wa urais, Donald Trump, rais mpya wa Marekani kwa mara nyingine tena ameamua kutumia mtindo alioutumia katika muhula wake wa kwanza wa kuuunga mkono bila mpaka utawala wa Kizayuni wa Israel na kuchukua hatua mpya za kuisaidia na kuihami Israel dhidi ya Wapalestina.

  • Kilele cha ukatili wa Israel; Waliouawa shahidi Gaza wapindukia 50,200

    Kilele cha ukatili wa Israel; Waliouawa shahidi Gaza wapindukia 50,200

    Mar 28, 2025 04:00

    Jeshi katili la Israel ambalo lilianzisha mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza mnamo Machi 18, limeendelea kupuuza miito ya jamii ya kimataifa ya kukomesha ukatili wake katika ukanda huo; ambapo mpaka sasa limeshaua shahidi Wapalestina karibu 900 na kujeruhi wengine karibu 2,000.

  • Kukiri jamii ya ujasusi ya Marekani kwamba Hamas haijashindwa huko Gaza

    Kukiri jamii ya ujasusi ya Marekani kwamba Hamas haijashindwa huko Gaza

    Mar 27, 2025 22:57

    Ripoti kuhusu vitisho ambayo hutolewa kila mwaka na jamii ya masuala ya ujasusi ya Marekani imekiri kwamba kundi la muqawama wa Palestina la Hamas huko Gaza halijashindwa bado na kwamba linaendelea kudumisha nguvu, wapiganaji na miundombinu yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS