• Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni

    Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni

    Nov 05, 2023 03:22

    Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa inakaribia kufika mwezi mmoja tangu itekelezwe huku jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel likiendelea kuwaua watu wa Ghaza na kujaribu kufidia kushindwa kwao katika vita vya nchi kavu kwa kuwaua raia kwa umati.

  • Hitilafu kati ya Warepublican and White House kuhusu msaada kwa Israel na Ukraine

    Hitilafu kati ya Warepublican and White House kuhusu msaada kwa Israel na Ukraine

    Nov 04, 2023 22:55

    Katika hali ambayo serikali ya Biden imetangaza kuunga mkono kikamilifu jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Ghaza na hata kupinga usitishaji vita, lakini suala la msaada wa kifedha kwa Israel ambalo linatiliwa maanani na Warepublican sambamba na mtazamo wa White ambayo inataka kutolewa kwa wakati mmoja misaada ya fedha na silaha kwa Ukraine limezusha hitilafu kubwa kati ya Kongresi na White House.

  • Balozi wa Cuba: Israel ndiye gaidi halisi

    Balozi wa Cuba: Israel ndiye gaidi halisi

    Nov 03, 2023 23:32

    Balozi wa Cuba mjini Tehran sanjari na kulaani jinai za Israel dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, ameutaja utawala huo wa Kizayuni wa Israel kuwa utawala wa kigaidi.

  • Sayyid Nasrullah: Machaguo yote dhidi ya Israel yapo mezani

    Sayyid Nasrullah: Machaguo yote dhidi ya Israel yapo mezani

    Nov 03, 2023 12:09

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema machaguo yote dhidi ya utawala haramu wa Israel yapo mezani, huku akiuasa utawala huo wa Kizayuni usitishe mara moja uvamizi na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Bahrain yasitisha uhusiano wa kibiashara na Israel, yamrejesha nyumbani balozi wake

    Bahrain yasitisha uhusiano wa kibiashara na Israel, yamrejesha nyumbani balozi wake

    Nov 03, 2023 04:34

    Bunge la Bahrain limetangaza kuwa, limesitisha uhusiano wa kiuchumi na utawaa wa Kizayuni wa Israel na kuwaondoa mabalozi wake kutokana na kuendelea mashambulio ya jeshi la Israel dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.

  • Misimamo inayogongana ya White House na Biden kuhusu kusitishwa mapigano huko Ghaza

    Misimamo inayogongana ya White House na Biden kuhusu kusitishwa mapigano huko Ghaza

    Nov 02, 2023 23:57

    Ikiwa zimepita takribani wiki 4 tangu kuanza operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na mashambulizi ya jinai ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa maelfu ya Wapalestina hususan watoto na wanawake, Marekani ambayo ni muungaji mkono mkuu na mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni, bado inataka kuendelezwa mauaji ya umwagaji damu huko Ghaza.

  • Kwa mara ya kwanza rais wa Marekani ataka kuwepo 'usitishaji' katika vita vya Israel dhidi ya Gaza

    Kwa mara ya kwanza rais wa Marekani ataka kuwepo 'usitishaji' katika vita vya Israel dhidi ya Gaza

    Nov 02, 2023 09:41

    Rais Joe Biden wa Marekani, kwa mara ya kwanza ametoa sauti ya kuunga mkono "usitishaji" mapigano kwa sababu za kibinadamu katika vita vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza wakati Washington inatilia mkazo kuwaondoa Wamarekani wote waliokwama katika eneo hilo la Palestina lililowekewa mzingiro.

  • Al-Azhar: Adui Mzayuni ni mbwa mwitu mkali aliyepatwa na kichaa cha kuua

    Al-Azhar: Adui Mzayuni ni mbwa mwitu mkali aliyepatwa na kichaa cha kuua

    Nov 01, 2023 04:40

    Taasisi ya kidini ya Al-Azhar nchini Misri imetangaza kuwa: “Adui Mzayuni amegeuka na kuwa mbwa mwitu mkali na mwenye kiu ya kuua watoto, wanawake na watu wasio na hatia, na kufurahia kula nyama zao na kunywa damu zao bila ya kizuizi chochote.

  • Wasiwasi wa viongozi wa Ulaya kuhusu kuenea barani humo uungaji mkono kwa taifa la Palestina

    Wasiwasi wa viongozi wa Ulaya kuhusu kuenea barani humo uungaji mkono kwa taifa la Palestina

    Nov 01, 2023 02:58

    Kutokana na kuendelea hujuma ya kinyama inayofanywa na utawala haramu wa Isreal katika Ukanda wa Ghaza na mauaji ya umati yanayofanywa kila siku na utawala huo dhidi ya Wapalestina hususan watoto na wanawake, mwenendo wa uungaji mkono wa kimataifa kwa kadhia ya Palestina na kulaaniwa vitendo vya jinai za Israel katika ukanda huo umeongezeka, suala ambalo limewatia wasiwasi mkubwa watawala wa Ulaya.

  • Jenerali wa Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

    Jenerali wa Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

    Oct 31, 2023 23:32

    Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.