-
Oman yataka Israel ibebeshwe dhima kwa jinai zake huko Gaza
Oct 31, 2023 23:32Oman imeitaka jamii ya kimataifa iibebeshe dhima Israel kwa jinai zake za kutisha katika Ukanda wa Gaza, na pia dunia ichukue hatua za dharura za kukomesha mauaji ya halaiki ya Wapalestina wasio na hatia.
-
Ansarullah ya Yemen yafanya shambulizi la droni dhidi ya Israel
Oct 31, 2023 23:31Harakati ya Ansarullah ya Yemen imefanya mashambulizi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Iwapo vita vitapanuka, Israel haitabakia chochote
Oct 31, 2023 02:49Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni dhihirisho la umakini na muono wa mbali wa Muqawama na akasisitiza kuwa: "iwapo vita vitapanuka, Israel haitabakia chochote".
-
Umati wa watu wenye hasira wavamia uwanja wa ndege Russia kuzuia ndege za Israel zisitue
Oct 30, 2023 10:41Mamia ya watu wenye hasira wamevamia uwanja mkuu wa ndege katika eneo la Dagestan nchini Russia, wakipinga kutua ndege zinazotoka Israel wakati utawala huo haramu wa Kizayuni ukiwa unaendeleza mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Raisi: Kulaaniwa Israel katika Baraza Kuu la UN ni mafanikio muhimu
Oct 29, 2023 23:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya hivi karibuni ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio juu ya vita vya Gaza ni mafanikio muhimu katika mkondo wa kusitisha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Pyongyang: Israel imefanya jinai ya kivita kwa kushambulia hospitali Gaza
Oct 26, 2023 23:00Korea Kaskazini imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Hospitali ya Al Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 17 na kuua mamia ya wananchi wa Paalestina.
-
Brigedi za Qassam zatungua helikopta ya Israel Ukanda wa Gaza
Oct 26, 2023 08:53Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza habari ya kufanikiwa kutungua helikopta ya utawala haramu wa Israel, ikiwa ni kuendelea kujibu jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Erdogan: HAMAS si kundi la magaidi, bali wapigania ukombozi
Oct 26, 2023 08:53Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amefuta safari yake ya kuzitembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel na kusisitiza kuwa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS si kundi la magaidi, bali ni kundi la wapigania ukombozi.
-
Iran: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza
Oct 25, 2023 04:07Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gazal kutokana na uungaji mkono wake usio na kifani kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Muswada wa kujinaisha uhusiano na Israel wavuka kiunzi cha kwanza Tunisia
Oct 25, 2023 04:06Kamati ya Bunge la Tunisia imepasisha katika marhala ya kwanza muswada wa sheria inayotaka vitendo vya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel kuwa kosa la jinai.