-
Chama tawala Italia kuwasilisha muswada wa kupiga marufuku uvaaji burqa na niqabu maeneo ya umma
Oct 09, 2025 10:33Gazeti la Politico la nchini Italia limeripoti kuwa chama tawala nchini humo cha Brothers of Italy kimesema, kinapanga kuwasilisha mswada bungeni wa kupiga marufuku wanawake wa Kiislamu kuvaa vazi la burqa na niqabu katika maeneo ya umma, kikitaja sababu ya kufanya hivyo kuwa ni kupinga ilichokiita "utengano wa Kiislamu".
-
Ripoti: Mossad ilihusika katika kutekwa nyara na kuuawa aliyekuwa waziri mkuu wa Italia Aldo Moro
Oct 06, 2025 02:23Ripoti mpya ya uchunguzi iliyotolewa inaonyesha kuwa shirika la ujasusi la utawala wa kizayuni wa Israel, Mossad ilihusika katika kutekwa nyara na kuuawa Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Aldo Moro mwaka 1978, na hivyo kudhihirisha ushawishi mkubwa iliokuwa nao Israel wakati katika uga wa siasa za Italia, ikiwa ni pamoja na kufuatia uhusiano wa Moro na makundi ya Muqawama ya Palestina.
-
Italia yaijia juu Israel kwa kushambulia kwa mabomu kanisa Gaza
Jul 17, 2025 15:13Waziri Mkuu wa Italia, Giorga Meloni jana Alkhamisi alikosoa vikali shambulio baya la Israel dhidi ya Kanisa la Kikatoliki katika Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti: Italia haitanunua silaha za Marekani kwa ajili ya Ukraine
Jul 16, 2025 13:00Bajeti ya Italia hairuhusu kushiriki katika mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kusambaza silaha za Marekani kwa Ukraine, gazeti la Italia La Stampa limeripoti, likinukuu vyanzo vya habari ambavyo havikutajwa majina.
-
Araqchi: Tunachotegemea kwa Ulaya ni kulaani mashambulizi ya Israel
Jun 14, 2025 02:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Serikali na wananchi wa Iran wanataraji kuiona jamii ya kimataifa hususan Umoja wa Ulaya unalaani shambulio hilo la kijinai la Israel dhidi ya nchi yao.
-
Wafanyakazi wa bandari Ufaransa, Italia wazuia kupelekwa silaha Israel
Jun 07, 2025 06:58Wafanyakazi wa bandari za Ufaransa na Italia wameendelea kufanya mgomo wao na kukataa kupakia shehena za silaha na zana za kijeshi zinazopelekwa Israel, wakisema kuwa hawatahusika katika "mauaji ya halaiki" yanayoendelea Gaza.
-
Press TV: Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani imefanyika Rome katika 'anga chanya'
Apr 19, 2025 14:32Duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani imefanyika katika mji mkuu wa Italia, Rome leo Jumamosi katika "anga chanya". Hayo yameelezwa na ripota wa chaneli ya televisheni ya Press TV.
-
Waziri Mkuu wa Italia achunguzwa kwa kumuachia huru mshukiwa wa ICC
Jan 29, 2025 10:30Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni amewekwa chini ya uchunguzi wa mahakama kufuatia uamuzi wa serikali yake wa kumwachilia huru afisa wa polisi wa Libya anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Trump ang'ang'ania mpango wake wa kutaka Wapalestina wahamishwe Ghaza, amwalika Netanyahu
Jan 29, 2025 03:28Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kung'ang'ania pendekezo lake la kuhamishwa Wapalestina wote katika Ukanda wa Ghaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mamilioni ya Wasenegal wameelekea vituo vya kupigia kura kuchagua Bunge jipya
Nov 17, 2024 12:13Wasenegal leo wamepiga kura katika uchaguzi wa Bunge ambao utaamua kama rais mpya wa nchi hiyo Bassirou Diomaye Faye ataweza kufanya mageuzi makubwa aliyokusudia au la.