-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia atahadharisha kuenea ghasia za Ufaransa katika nchi nyingine
Jul 04, 2023 04:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia amesisitiza kuwa nchi za Ulaya zinapasa kubuni sera ili kuzuia machafuko yaliyoigubika Ufaransa kuenea katika nchi nyingine.
-
Kongamano la kimataifa la Palestina lafanyika Rome Italia
May 17, 2023 06:27Kongamano la kimataifa la Palestina katika sheria za kimataifa limefanyika katika ubalozi wa Palestina mjini Rome mji mkuu wa Italia.
-
Raia wa Italia akataa kumfanyia Netanyahu kazi ya ukalimani
Mar 10, 2023 07:13Mkalimani wa Kitaliano amekataa katakata kumfanyia kazi ya tarjumu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, na kumtaja mwanasiasa huyo kama mtu hatari.
-
Watunisia wapatwa na wasiwasi kuhusu mpango wa kusafirisha gesi wa Algeria na Italia
Jan 31, 2023 02:23Taarifa ya karibuni ya serikali ya Algeria kuhusu mpango wake kujenga bomba la pili la kusafirisha gesi ya nchi hiyo hadi Italia bila kupitia Tunisia imesababisha wasiwasi kkwa wananchi wa Tunisia.
-
Abdollahian: Siasa za Iran za kukomeshwa vita vya Ukraine hazibadiliki
Nov 10, 2022 07:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa za kimsingi na zisizobadilika za Jamhuri ya Kiislamu ni kuhitimishwa vita vya Ukraine.
-
Maelfu waandamana Italia kuishinikiza Rome isiunge mkono vita vya Ukraine
Nov 06, 2022 07:18Maelfu ya wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika mji mkuu Rome, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuunga mkono vita vinavyoendelea Ukraine.
-
Italia yatangaza kusitisha kuipelekea silaha Ukraine
Nov 03, 2022 06:57Serikali ya Italia imetangaza kuwa imesitisha kuipelekea silaha Ukraine ambazo ilikuwa ikizipeleka huko kwa kisingizio cha kupambana na Russia na kutekeleza maazimio ya Jeshi la Nchi za Magharibi NATO.
-
Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke Italia, mabadiliko katika siasa za ndani na nje
Oct 24, 2022 04:00Giorgia Meloni amepewa rasmi jukumu la uwaziri mkuu wa Italia kutoka chama chenye misimamo mikali ya kulia cha Brothers of Italy. Hayo yamekuja baada ya kufanyika mazungumzo ya pande kadhaa na hatimaye Rais wa Italia amempa jukumu Meloni la kuunda serikali mpya akiwa ni Waziri Mkuu wa kwanza kabisa mwanamke katika historia ya Italia.
-
Berlusconi amlaumu Rais Zelensky kwa vita vya Ukraine
Oct 21, 2022 04:12Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi amesema Rais Volodymyr Zelenskiy wa Ukraine ndiye aliyemsukuma kwenye vita Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Wataliano waandamana dhidi ya serikali; wataka kutatuliwa mgogoro wa nishati
Oct 16, 2022 10:44Wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo kushindwa kutafutia ufumbuzi mgogoro wa nishati unaowakabili.