-
Watunisia wapatwa na wasiwasi kuhusu mpango wa kusafirisha gesi wa Algeria na Italia
Jan 30, 2023 22:53Taarifa ya karibuni ya serikali ya Algeria kuhusu mpango wake kujenga bomba la pili la kusafirisha gesi ya nchi hiyo hadi Italia bila kupitia Tunisia imesababisha wasiwasi kkwa wananchi wa Tunisia.
-
Abdollahian: Siasa za Iran za kukomeshwa vita vya Ukraine hazibadiliki
Nov 10, 2022 04:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa za kimsingi na zisizobadilika za Jamhuri ya Kiislamu ni kuhitimishwa vita vya Ukraine.
-
Maelfu waandamana Italia kuishinikiza Rome isiunge mkono vita vya Ukraine
Nov 06, 2022 03:48Maelfu ya wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika mji mkuu Rome, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuunga mkono vita vinavyoendelea Ukraine.
-
Italia yatangaza kusitisha kuipelekea silaha Ukraine
Nov 03, 2022 03:27Serikali ya Italia imetangaza kuwa imesitisha kuipelekea silaha Ukraine ambazo ilikuwa ikizipeleka huko kwa kisingizio cha kupambana na Russia na kutekeleza maazimio ya Jeshi la Nchi za Magharibi NATO.
-
Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke Italia, mabadiliko katika siasa za ndani na nje
Oct 24, 2022 00:30Giorgia Meloni amepewa rasmi jukumu la uwaziri mkuu wa Italia kutoka chama chenye misimamo mikali ya kulia cha Brothers of Italy. Hayo yamekuja baada ya kufanyika mazungumzo ya pande kadhaa na hatimaye Rais wa Italia amempa jukumu Meloni la kuunda serikali mpya akiwa ni Waziri Mkuu wa kwanza kabisa mwanamke katika historia ya Italia.
-
Berlusconi amlaumu Rais Zelensky kwa vita vya Ukraine
Oct 21, 2022 00:42Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi amesema Rais Volodymyr Zelenskiy wa Ukraine ndiye aliyemsukuma kwenye vita Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Wataliano waandamana dhidi ya serikali; wataka kutatuliwa mgogoro wa nishati
Oct 16, 2022 07:14Wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo kushindwa kutafutia ufumbuzi mgogoro wa nishati unaowakabili.
-
Iran yakosoa mitazamo ya upande mmoja na taathira zake hasi kwa utulivu wa eneo na usalama wa kimataifa
May 26, 2022 21:53Awamu ya tatu ya mazungumzo ya kisiasa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Italia ilifanyika siku ya Jumanne mjini Tehran, chini ya uenyekiti wa Ali Bagheri, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kisiasa na Ettore Plato, Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia.
-
Wataliano waandamana kulaani mashambulizi dhidi ya Wapalestina al-Aqsa
Apr 19, 2022 02:55Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Italia, Rome ya kulaani mashambulio ya wanajeshi makatili wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Msikiti wa al-Aqsa ulioko katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
DRC yawakamata wanaotuhumiwa kumuua balozi wa Italia
Jan 20, 2022 00:54Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimewatia nguvuni watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa balozi wa Italia nchini humo.