-
Italia pia yasitisha mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati
Jan 30, 2021 07:52Serikali ya Italia imesimamisha uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, baada ya wanaharakati na wabunge wa nchi hiyo ya Ulaya kuonya kuwa, silaha hizo zinatumika kukanyaga haki za binadamu nchini Yemen.
-
Uchumi wa Italia warejea miaka 20 nyuma kutokana na janga la COVID-19
Sep 01, 2020 02:59Muungano wa mashirika na jumuiya za kiuchumi za Italia umezungumzia athari mbaya za janga la corona yaani COVID-19 katika uchumi wa nchi hiyo na kusema kuwa, uchumi wa Italia umeporomoka vibaya na umerejea katika hali uliyokuwa nayo miaka 20 iliyopita.
-
Taasisi ya kijamii ya Italia: Idadi kamili ya wahanga wa firusi vya Corona ni zaidi ya iliyotangazwa
May 22, 2020 11:31Taasisi ya Usalama wa Kijamii nchini Italia imesema kuwa, idadi kamili ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya Corona kati ya mwezi Machi na Aprili mwaka huu ni zaidi ya watu elfu 19 waliotangazwa rasmi na serikali.
-
Mwanamke Mtaliano aliyesilimu akiwa Somalia atumiwa jumbe za chuki
May 13, 2020 08:15Mwanamke mmoja raia wa Italia aliyekuwa ametekwa nyara nchini Somalia kwa karibu mwaka mmoja na nusu ameshambuliwa vikali na kutumiwa jumbe za chuki na vitisho baada ya kubainika kuwa aliukubali Uislamu akiwa mateka.
-
Mtihani wa Corona na sisitizo la Italia la kutokuwepo mshikamano ndani ya Umoja wa Ulaya
Apr 22, 2020 10:17Kuenea kwa kiasi kikubwa virusi vya Corona barani Ulaya na mgogoro unaotokana na janga hilo, kumezifanya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya EU kukosoa baadhi ya sheria zake na kusema kuwa haujakuwa na radiamali wala kuonyesha mshikamano uliotarajiwa kuhusiana na janga hilo.
-
Baada ya janga la corona Wataliano wataka kujiondoa Umoja wa Ulaya
Apr 20, 2020 08:00Uchunguzi mpya wa maoni nchini Italia umebaini kuwa aghalabu ya watu wa nchi hiyo wanataka nchi yao iondoke katika Umoja wa Ulaya kutokana na utendaji mbovu wa umoja huo katika kipindi hiki cha janga la corona nchini humo.
-
Tahadhari ya maafisa wa Italia kuhusu uwezekano wa kusambaratika EU
Apr 14, 2020 06:29Maambukizi ya virusi vya corona na kutokuwepo ushirikiano kwa ajili ya kudhibiti kasi ya maambukizi ya virusi hivyo katika nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) vimetia mashakani mustakbali wa umoja huo na malengo ya kuasisiwa kwake.
-
Italia yaonya kusambaratika EU, Brussels hatimaye yapasisha fedha za kupambana na corona
Apr 10, 2020 02:33Waziri Mkuu wa Italia ameonya kuhusu hatari ya kusambaratika Umoja wa Ulaya (EU) baada ya mgogoro wa corona kutokana na utendaji dhaifu sana wa umoja huo.
-
Italia yaripoti kesi mpya 3500 za maambukizo ya corona
Mar 15, 2020 03:07Italia imetangaza kuwa karibu watu 3500 wameambukizwa virusi vya codiv-19 nchini humo yaliyopita huku 175 wakiaga dunia katika muda wa masaa 24 yaliyopita.
-
Putin asisitiza ulazima wa kutatuliwa kwa amani mgogoro wa Libya
Dec 27, 2019 07:25Rais wa Russia amemhutubu na kumsisitizia Waziri Mkuu wa Italia kuwa mgogoro wa Libya unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani.