-
Kituo cha jeshi cha Marekani na msafara wa askari wa Italia washambuliwa Somalia; Al Shabab latangaza kuhusika
Sep 30, 2019 13:33Mashambulio mawili tofauti yamelenga kituo cha jeshi cha Marekani kilichoko kwenye mji wa Baledogle na msafara wa askari wa Italia katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Papa atahadharisha kuhusu kushadidi mielekeo ya kufurutu mpaka ya mrengo wa kulia barani Ulaya
Aug 10, 2019 15:02Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametoa indhari ya kushadidi hisia na mielekeo ya kufurutu mpaka ya mrengo wa kulia barani Ulaya.
-
Raia wa Italia waandamana kuupinga utawala wa Kizayuni Israel na kuiunga mkono Palestina
Apr 26, 2019 08:01Sambamba na kusherehekea mwaka wa 74 wa kuwa huru nchi ya Italia na utawala wa Kifashisti, raia wa nchi hiyo mjini Roma, mji mkuu wa Italia wamefanya maandamano kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.
-
Kinara wa upinzani wa Sudan Kusini 'azuiwa' kushiriki mkutano wa Vatican
Apr 10, 2019 07:53Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar ameripotiwa kuzuiwa kwenda Vatican, Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani nchini Italia kushiriki mkutano wa amani kati yake na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Italia
Mar 29, 2019 04:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametoa vitisho vipya dhidi ya nchi muitifaki wa Washington yaani Italia kwa kudai kuwa nchi kama Italia ambazo zinataka kujiunga na mradi wa kiuchumi wa China uliopewa jina la "Njia ya Hariri" zitambue kuwa zitapata hasara kubwa ya kisiasa.
-
Mvutano usio wa kawaida wa kisiasa kati ya Ufaransa na Italia; ufa unaozidi kupanuka katika Umoja wa Ulaya
Feb 09, 2019 03:44Umoja wa Ulaya umekuwa ukikabiliwa na changamoto kadhaa katika miaka ya hivi karibuni na tofauti za mitazamo kuhusiana na jinsi ya kukabiliana nazo zimezidi kuongeza nyufa katika umoja huo.
-
Ugomvi washadidi Umoja wa Ulaya, Ufaransa yamwita nyumbani balozi wake wa Italia
Feb 07, 2019 22:36Mzozo na mgogoro umeongezeka baina ya Ufaransa na Italia kiasi kwamba Paris imeamua kumwita nyumbani balozi wake wa mjini Rome.
-
Kharrazi: Kitendo cha nchi za Ulaya cha kuchelewesha utekelezaji wa SPV hakikubaliki
Jan 19, 2019 16:37Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Kigeni la Iran amezilaumu nchi za Ulaya kwa kuchelewa kutekeleza mfumo maalumu wa kubadilishana fedha na Iran maarufu kwa jina la SPV na kusema kuwa, kisingizio kinachotolewa na nchi hizo cha kwamba haziwezi kuyalazimisha mashirika ya nchi zao, hakikubaliki kabisa.
-
Iran: Hatutafanya mazungumzo mengine ya nyuklia na Marekani
Nov 23, 2018 04:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, licha ya Tehran kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), haitafanya mazungumzo mengine ya nyuklia na Marekani.
-
Juhudi za kurejesha amani nchini Libya
Nov 14, 2018 12:03Jitihada za kurejesha amani huko Libya zinaendelea kufanywa wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa mgogoro na changamoto nyingi. Hadi sasa kumefanyika mikutano kadhaa ya kujadili njia za kurejesha amani nchini humo ukiwemo ule wa siku mbili nchini Italia uliodhuhuriwa na pande kuu husimu katika mgogoro wa ndani wa nchi hiyo na jumbe kutoka nchi 30 duniani.