-
Juhudi za kurejesha amani nchini Libya
Nov 14, 2018 12:03Jitihada za kurejesha amani huko Libya zinaendelea kufanywa wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa mgogoro na changamoto nyingi. Hadi sasa kumefanyika mikutano kadhaa ya kujadili njia za kurejesha amani nchini humo ukiwemo ule wa siku mbili nchini Italia uliodhuhuriwa na pande kuu husimu katika mgogoro wa ndani wa nchi hiyo na jumbe kutoka nchi 30 duniani.
-
Mkutano wa amani wa Libya wamalizika nchini Italia
Nov 14, 2018 03:18Mkutano wa siku mbili wa amani wa Libya ulimalizika jana usiku katika mji wa Palermo nchini Italia.
-
Hofu ya Waislamu Italia baada ya kuchaguliwa serikali ya mrengo wa kulia
Sep 26, 2018 13:53Waislamu nchini Italia wameelezea wasiwasi wao kutokana na kuchaguliwa serikali yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Roma wajiunga na walimwengu kulaani jinai za Saudia nchini Yemen
Sep 20, 2018 03:46Kundi moja la wananchi wa Italia limekusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Rome kulaani jinai za Aal Saud huko Yemen.
-
Italia yakata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya (EU)
Aug 26, 2018 07:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ametangaza kuwa nchi hiyo imekata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya kufuatia kuendelea mivutano kati ya umoja huo na Italia kuhusu suala la wahajiri waliokwama katika meli ya gadi ya pwani ya Italia kwa jina la Diciotti (Dichuti).
-
Umoja wa Mataifa wataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa wahajiri barani Ulaya
Aug 25, 2018 13:50Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limezitaka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kutekeleza majukumu yao kuhusiana na wahajiri 150 wanaotangatanga katika meli ya Gadi ya Pwani ya Italia.
-
Italia yataka kutatuliwa haraka mgogoro wa wahajiri haramu waliokwama melini
Aug 22, 2018 14:25Serikali ya Italia imetaka kutatuliwa suala la mamia ya wahajiri haramu waliokwama melini katika kisiwa cha Sicilian mjini Catania na kusema kuwa, viongozi wa nchi za Ulaya wanapaswa kuutatua haraka mgogoro huo.
-
Bunge la Libya lataka balozi wa Italia afukuzwe nchini humo
Aug 10, 2018 03:59Bunge la Libya limemtuhumu balozi wa Italia mjini Tripoli kuwa anaingila masuala ya ndani ya nchi hiyo na kutaka afukuzwe mara moja.
-
Italia yatahadharisha kuhusu kushamiri utumwa
Jul 31, 2018 07:52Rais wa Italia ametahadharisha kuhusu kuzidi kushamiri tatizo la utumwa na magendo ya binadamu.
-
Vita vya kuwania ngawira Libya vyapamba moto baina ya Ufaransa na Italia
Jul 22, 2018 03:28Mtandao wa habari wa Algeria umefichua kuwa Ufaransa na Italia zinachuana vikali kuwania ngawira zaidi huko Libya na kwamba wakati mwingine mchuano huo unafikia kiwango cha mapigano na vita vya kisiasa.