-
Italia yakata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya (EU)
Aug 26, 2018 02:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ametangaza kuwa nchi hiyo imekata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya kufuatia kuendelea mivutano kati ya umoja huo na Italia kuhusu suala la wahajiri waliokwama katika meli ya gadi ya pwani ya Italia kwa jina la Diciotti (Dichuti).
-
Umoja wa Mataifa wataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa wahajiri barani Ulaya
Aug 25, 2018 09:20Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limezitaka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kutekeleza majukumu yao kuhusiana na wahajiri 150 wanaotangatanga katika meli ya Gadi ya Pwani ya Italia.
-
Italia yataka kutatuliwa haraka mgogoro wa wahajiri haramu waliokwama melini
Aug 22, 2018 09:55Serikali ya Italia imetaka kutatuliwa suala la mamia ya wahajiri haramu waliokwama melini katika kisiwa cha Sicilian mjini Catania na kusema kuwa, viongozi wa nchi za Ulaya wanapaswa kuutatua haraka mgogoro huo.
-
Bunge la Libya lataka balozi wa Italia afukuzwe nchini humo
Aug 09, 2018 23:29Bunge la Libya limemtuhumu balozi wa Italia mjini Tripoli kuwa anaingila masuala ya ndani ya nchi hiyo na kutaka afukuzwe mara moja.
-
Italia yatahadharisha kuhusu kushamiri utumwa
Jul 31, 2018 03:22Rais wa Italia ametahadharisha kuhusu kuzidi kushamiri tatizo la utumwa na magendo ya binadamu.
-
Vita vya kuwania ngawira Libya vyapamba moto baina ya Ufaransa na Italia
Jul 21, 2018 22:58Mtandao wa habari wa Algeria umefichua kuwa Ufaransa na Italia zinachuana vikali kuwania ngawira zaidi huko Libya na kwamba wakati mwingine mchuano huo unafikia kiwango cha mapigano na vita vya kisiasa.
-
Italia kutonunua tena ndege za kivita za F-35 kutoka Marekani
Jul 07, 2018 03:31Katika kile kinachoonekana ni mgogoro katika uhusiano wa kijeshi wa Rome na Washington, Wizara ya Ulinzi ya Italia imesema haitanunua tena ndege za kivita aina ya F-35 za Marekani.
-
Wahajiri wa Nigeria waishtaki Italia kwa kukanyaga haki zao
May 08, 2018 22:28Kundi la wahajiri raia wa Nigeria ambao ni manusura wa ajali za boti zilizoshuhudiwa mwaka jana wameifungulia mashitaka serikali ya Italia kwa kukiuka haki zao za binadamu.
-
Ripoti: Kinara wa upinzani Congo alichukua uraia wa Italia
Apr 04, 2018 10:29Ripoti kutoka Italia zimefichua kuwa, kinara wa kambi ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi alichukua uraia wa Italia kuanzia mwaka 2000 hadi 2017.
-
Hatua za chuki dhidi ya Waislamu zazidi kushika kasi Italia, Waislamu wajawa na khofu
Mar 29, 2018 00:04Duru za habari nchini Italia zimeripoti juu ya ongezeko la mashambulizi yanayosukumwa na chuki dhidi ya dini ya Uislamu nchini humo.