-
Italia yataka kusaidiwa nchi za Kiafrika ili zitatue tatizo la uhajiri
Jan 25, 2018 03:22Waziri Mkuu wa Italia amesisitiza juu ya udharura wa kusaidiwa nchi za Kiafrika kwa ajili ya kulipatia ufumbuzi tatizo la uhajiri linalozikabili nchi za bara hilo.
-
Italia yaidhinisha kutuma wanajeshi Niger, na vikosi zaidi kaskazini mwa Afrika
Jan 18, 2018 04:25Bunge la Italia jana liliidhinisha kuongezwa idadi ya wanajeshi wake huko Libya na kutumwa wanajeshi wa nchi hiyo hadi 470 huko Niger kwa ajili ya kukomesha harakati za wahajiri na magendo ya binadamu kuelekea Ulaya.
-
Wahajiri wengine 1400 waokolewa katika maji ya pwani ya Italia na Uhispania
Jan 17, 2018 04:29Kikosi cha gadi ya pwani ya Italia kimetangaza kuokoa wahajiri 1400 katika maji ya bahari ya Mediterrania.
-
Gadi ya Pwani nchini Italia yaokoa mamia ya wahajiri katika bahari ya Mediterranea
Dec 27, 2017 03:53Askari wa Gadi ya Pwani ya Italia wametangaza habari ya kuwaokoa wahajiri 250 katika bahari ya Mediterranea.
-
Wanajeshi wa Italia walio Iraq kupelekwa Niger
Dec 25, 2017 03:21Waziri Mkuu wa Italia Paolo Gentilon amesema atapendekeza katika bunge la nchi hiyo kuwa baadhi ya wanajeshi wa Italia walio Iraq wapelekwe Niger kupambana na biashara haramu ya usafirishaji binadamu na ugaidi.
-
7 wakamatwa Italia kwa magendo ya wanawake wa Nigeria
Dec 19, 2017 10:06Polisi nchini Italia imewatia mbaroni watu saba wanaotuhumiwa kuhusika na magendo ya wanawake wa Nigeria kwa ajili ya kuwaingiza katika biashara haramu ya ukahaba katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Libya na Italia zakubaliana kuanzisha oparesheni za kukabiliana na magendo ya wahajiri
Dec 10, 2017 23:59Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imekubaliana na Italia kuanzisha vyumba vya pamoja vya oparesheni ili kukabiliana na magendo ya wahajiri kama sehemu ya juhudi za kukomesha wimbi la wahajiri kuelekea Ulaya.
-
Askari wa gadi ya pwani nchini Italia waokoa wahajiri 700
Nov 04, 2017 04:18Askari wa gadi ya pwani nchini Italia wametangaza kwamba Ijumaa ya jana waliwaokoa wahajiri 700 katika bahari ya Mediterranea.
-
Maelfu ya raia wa Italia wasio na makazi wafanya maandamano wakiilalamikia serikali
Oct 25, 2017 00:31Maelfu ya raia wa Italia wasio na makazi kwa kushirikiana na baadhi ya wageni wasio na mahala pa kuishi, wamemiminika mabarabarani wakiitaka serikali ya nchi hiyo kuwadhaminia makazi na masuala mengine ya kijamii nchini humo.
-
Italia yasisitiza ulazima wa Libya kuwa na amani ili kupambana na ugaidi katika eneo
Sep 05, 2017 02:31Italia imesema kuna ulazima kwa nchi ya Libya kuwa na uthabiti ili kuzuia ugaidi na kuendesha mapambano dhidi ya tishio hilo.