-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Nchi nne za Kiarabu zilizotuwekea vikwazo zina nia mbaya
Aug 03, 2017 02:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar kwa mara nyingine tena amelaani kikao dhidi ya nchi yake kilichofanyika hivi karibuni huko Bahrain na kuendelea kuzingirwa nchi hiyo na Saudi Arabia na waitifaki wake.
-
Juhudi za Italia za kuwepo katika pwani ya Libya kwa ajili ya kuzuia wimbi la wahajiri
Jul 30, 2017 07:46Italia imechukua uamuzi mpya wa kutuma kikosi cha Gadi ya Pwani ili kuwazuia wahajiri wanaotokea pwani ya Libya.
-
Libya yaialika Italia katika maji yake kupambana na magendo ya binadamu
Jul 26, 2017 14:06Serikali ya Libya yenye makao yake huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo imezialika meli za kivita za Italia katika maji ya nchi hiyo ili kusaidia mapambano dhidi ya magendo ya binadamu. Hayo yamesemwa leo na Paolo Gentiloni Waziri Mkuu wa Italia.
-
Mawaziri wa Ulaya na Afrika wakutana Roma kujadili mgogoro wa wahajiri
Jul 06, 2017 14:00Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje na wa Masuala ya Wahajiri wa nchi za Ulaya na Afrika kimefanyika Roma mji mkuu wa Italia kujadili njia ya kupambamba na mgogoro wa sasa wa wahajiri katika bahari ya Mediterania.
-
Wahajiri 7 wafa maji, 484 waokolewa katika bahari ya Mediterania
May 14, 2017 07:38Gadi ya Pwani ya Italia imesema wahajiri saba wamepoteza maisha huku wengine zaidi ya 400 wakiokolewa katika bahari ya Mediterania wakijaribu kuelekea barani Ulaya jana Jumamosi.
-
Makabila ya kusini mwa Libya yatia saini makubaliano ya amani mjini Roma, Italia
Apr 03, 2017 04:40Wizara ya Mambo ya Ndani ya Italia imetangaza habari ya kutiwa saini makubaliano ya amani na makabila ya kusini mwa Libya mjini Roma, kwa lengo la kusimamia mpaka wa kusini mwa nchi hiyo wenye urefu wa kilometa 5000.
-
Wahajiri wengine 1,300 waokolewa katika bahari ya Mediterania
Feb 04, 2017 07:36Vikosi vya doria katika pwani ya Italia vimetangaza kuwa vimewaokoa wahajiri 1,300 katika bahari ya Mediterania.
-
Italia kuzisaidia kifedha nchi za Kiafrika ili ziwazuie wahajiri wasielekee Ulaya
Feb 02, 2017 02:52Italia imeanzisha mfuko wa fedha wa kuzisaidia nchi za Kiafrika ziimarishe zaidi mipaka yao ili kujaribu kuepusha wahajiri kusafiri kwa kutumia boti dhaifu na hatarishi za mipira kwa ajili ya kuelekea barani Ulaya.
-
Italia: Tuna matumaini mgogoro wa Syria utatatuliwa
Dec 04, 2016 07:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia amesema kuwa, ana matumaini njia za kidiplomasia zitautatua mgogoro wa Syria.
-
Kasisi wa Italia: Ushoga na ndoa za watu wa jinsia moja zimesababisha mabalaa ya mitetemeko
Nov 07, 2016 14:55Kasisi mmoja wa Kanisa Katoliki la Italia amesema kuwa ndoa za watu wenye jinsia moja ndiyo sababu za maafa na mitetemeko mtawalia ya ardhi iliyotokea hivi karibuni nchini humo.