-
Italia yakanusha tuhuma za kuwatesa wahajiri wa Kiafrika
Nov 04, 2016 07:47Polisi ya Italia imepinga ripoti iliyotolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International kwamba, askari usalama wa nchi hiyo walitumia mabavu na mateso dhidi ya wakimbizi wa Kiafrika.
-
Mamia ya wahajiri haramu waokolewa katika fukwe za Libya
Sep 15, 2016 07:27Maafisa wa gadi ya ulinzi wa fukwe za Italia wametangaza habari ya kuokolewa amia ya wahajiri haramu katika fukwe za Libya.
-
Italia yatangaza maombolezo ya kitaifa baada ya tetemeko la ardhi; walioaga dunia wafikia 281
Aug 27, 2016 07:52Serikali ya Italia imetangaza siku moja ya maombolezo ya kitaifa huku idadi ya wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea Jumatano iliyopita ikiongezeka na kufikia 281.
-
Idadi ya waliofariki katika tetemeko la ardhi Italia yafikia watu 247
Aug 25, 2016 08:08Huku timu za uokoaji zikiendelea na kazi ya kuwatafuta majeruhi na manusura wa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 kwa kipimo cha rishta lililotokea katikati mwa Italia, hadi sasa imethibitishwa kuwa watu wasiopungua 247 wamepoteza maisha katika janga hilo la kimaumbile.
-
Watu 37 wapoteza maisha katika tetemeko la ardhi Italia; idadi huenda ikaongezeka
Aug 24, 2016 07:42Watu 37 wanaripotiwa kuaga dunia nchini Italia kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo ingawa kuna uwezekano wa kuongezeka wahanga wa janga hilo la kimaumbile.
-
EU: Idadi ya wahajiri wanaoingia Italia imeongezeka kwa 12%
Aug 13, 2016 07:30Shirika la Umoja wa Ulaya la Frontex linaloshughulikia masuala ya mipaka limesema idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Italia imeongezeka kwa asilimia 12.
-
Miili 217 ya wahajiri yapatikana Italia
Jul 07, 2016 14:13Miili zaidi ya 200 ya wahajiri imepatika katika mabaki ya boti iliyozama katika Bahari ya Mediterranean Aprili mwaka jana 2015.
-
Misri yalalamikia hatua ya Italia ya kukata ushirikiano wake na Cairo
Jul 07, 2016 07:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imeelezea kusikitishwa kwake na hatua ya Italia ya kusimamisha ushirikiano wake na Cairo.
-
Raia wa Italia anayeaminika kuwa Daesh akamatwa Morocco
Jun 13, 2016 15:20Vyombo vya usalama nchini Morocco vimesema kuwa vimemtia nguvuni raia wa Italia anayeaminika kuwa na mafungamano na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Maelfu ya wakimbizi waokolewa katika Bahari ya Mediterranean
Jun 10, 2016 04:02Gadi ya fukwe za bahari ya Italia imetangaza habari kwamba imewaokoa maelfu ya wakimbizi katika Bahari ya Mediterranean katika siku za Jumatano na Alkhamisi.