-
Pezeshkian: Iran ipo tayari kuimarisha uhusiano na Ivory Coast
Oct 08, 2025 12:45Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiandaa kikamilifu kupanua ushirikiano wa pande mbili na Ivory Coast ili kufikia malengo ya pamoja.
-
Gbagbo aapa kutomuunga mkono mgombea yeyote katika kinyang'anyiro cha urais wa Ivory Coast
Sep 20, 2025 02:36Laurent Gbagbo Rais wa zamani wa Ivory Coast amesema hatomuunga mkono mgombea yeyote katika uchaguzi ujao wa rais.
-
Rais wa zamani Gbagbo na kiongozi mkuu wa upinzani wazuiwa kugombea urais wa Ivory Coast
Sep 09, 2025 10:28Kinyang'anyiro cha kuwania urais nchini Ivory Coast kimeshuhudia mabadiliko ya ghafla baada ya viongozi wawili wakuu wa upinzani kuzuiliwa kugombea katika uchaguzi huo utakaofanyika mwezi ujao wa Oktoba.
-
Ivory Coast yatangaza tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa nchini humo
Feb 08, 2025 02:58Serikali ya Ivory Coast imeainisha tarehe ya kuondoka wanajeshi 'vamizi' wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria
Jan 02, 2025 06:48Rais William Ruto wa Kenya kwa mara ya kwanza amekiri hadharani matumizi mabaya ya mamlaka yanayofanywa na vikosi vya usalama, kufuatia wimbi la utekaji nyara wenye utata ambao umezua maandamano makubwa ya upinzani nchini humo.
-
Ouattara: Ufaransa kuondoa wanajeshi wake Ivory Coast
Jan 01, 2025 13:05Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema kuwa wanajeshi wa Ufaransa wataondoka nchini humo mwezi huu wa Januari. Rais wa Ivory Coast alieleza haya jana Jumnanne katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka kwa taifa.
-
Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran
Dec 01, 2024 04:12Balozi wa Ivory Coast nchini Iran amesisitiza azma ya nchi yake ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran.
-
Jeshi la Mali 'lawasamehe' askari 49 wa Ivory Coast
Jan 07, 2023 09:56Kiongozi wa kijeshi nchini Mali ametangaza habari ya kuwapa msamaha makumi ya wanajeshi wa Ivory Coast waliokamatwa nchini humo mwezi Julai mwaka uliomalizika 2022, wakituhumiwa kuwa mamluki.
-
Mali yawahukumu wanajeshi wa Ivory Coast miaka 20 jela
Jan 01, 2023 07:34Mahakama moja huko Bamako, mji mkuu wa Mali imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela makumi ya wanajeshi wa Ivory Coast baada ya kuwapata na hatia ya 'kuhujumu' usalama wa taifa hilo jirani yake.
-
Ivory Coast imewahukumu watu 11 kifungo cha maisha jela kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi mwaka 2016
Dec 29, 2022 02:51Mahakama nchini Ivory Coast imewahukumu watu 11 kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika katika shambulio la kigaidi katika mji wa pwani wa Grand Bassam nchini humo mwezi Machi 2016.