-
Guterres: Wanaadamu wanacheza na bunduki iliyosheheni risasi
Aug 06, 2022 08:01Katika kumbukumbu ya miaka 77 ya shambulio la mabomu ya nyuklia ya Marekani dhidi ya Japan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba ubinadamu unacheza na bunduki iliyosheheni risasi katika anga ya migogoro ya sasa ya hatari ya nyuklia.
-
Ushindi wa chama tawala cha Liberal Democratic Party of Japan katika uchaguzi wa Seneti
Jul 12, 2022 10:06Chama tawala nchini Japan cha Liberal Democratic (LDP) na washirika wake wa muungano wa Chama cha Komeito waliimarisha udhibiti wao katikia Baraza la Juu la Bunge la nchi hiyo kwa kushinda zaidi ya viti 75 kati ya viti 125 vya taasisi hiyo.
-
Polisi ya Japan yakiri uzembe ulisababisha kuuawa Shinzo Abe
Jul 10, 2022 09:31Jeshi la Polisi nchini Japan limekiri kuwa udhaifu katika mipango ya usalama ulipelekea kuuawa waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Shinzo Abe siku ya Ijumaa.
-
Kuuawa kigaidi Shinzo Abe; mwisho wa 'Tina' wa Japan
Jul 09, 2022 11:10Shinzo Aben, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan alifariki dunia Ijumaa asubuhi baada ya kupigwa risasi mbili katika tukio la ugaidi.
-
Dunia yalaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan
Jul 08, 2022 10:09Jamii ya kimataifa imeendelea kulaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara
Mar 24, 2022 13:19Korea Kusini na Japan zimesema, Korea Kaskazini imefanyia majaribio kile kinachoshukiwa kuwa ni kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara.
-
Raisi: Kuendelezwa sera zilizofeli za Trump ndiyo sababu hasa ya kutopiga hatua mazungumzo ya Vienna
Feb 10, 2022 03:37Rais Ebrahim Raisi amesema, kuendelezwa sera zilizofeli za serikali iliyopita ya Marekani ndicho kizuizi kikuu kinachokwamisha kupiga hatua za kuridhisha mazungumzo ya Vienna.
-
Abdollahian: Iran yataka kufikiwa makubaliano ya kudumu na ya kutegemewa Vienna
Feb 03, 2022 12:56Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kufikia makubaliano ya kudumu na ya kutegemewa baina yake na kundi la 4+1 katika mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, Austria.
-
Onyo la Putin kwa Marekani kwa kuweka mifumo ya makombora katika mpaka wa Russia na Japan
Sep 06, 2021 03:00Rais Vladimir Putin wa Russia ameelezea wasiwasi wake kuhusu mpango wa Marekani wa kuweka mifumo yake ya kujilinda kwa makombora katika mpaka wa Russia na Japan na ameitaka Tokyo isiruhusu kufanyika jambo hilo.
-
Spika Qalibaf: Japan ichukue hatua za maana za kuachiliwa fedha za Iran
Aug 23, 2021 07:55Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Japan ichukue hatua za maana kuhakikisha kwamba, fedha za Iran zilizozuiwa katika benki za nchi hiyo zinaachiliwa.