-
Meli za kivita za Marekani, Australia na Japan zashiriki mazoezi ya kijeshi, China yaonya kuhusu taharuki
Jul 23, 2020 07:00Meli tano za kivita za Australia zimejiunga na manowari za majeshi ya majini ya Japan na Marekani kwa ajili ya mazoezi ya pamoja katika Bahari ya Ufilipino eneo la Bahari ya Pasifiki.
-
Rais Rouhani: Iwapo Marekani ni mkweli kuhusu madai yake, isitishe vikwazo dhidi ya Iran
May 06, 2020 04:15Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya Marekani kuwa iko tayari kuisadia Iran kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) na kusema: "Iwapo Wamarekani ni wakweli, njia pekee ni kuondoa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria dhidi ya Iran."
-
Amir Hatami: Marekani inapaswa kuhitimisha haraka uvamizi wake Asia Magharibi
Jan 11, 2020 04:50Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ili kukabiliana na mizozo na uzushaji wa migogoro na ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi, kuna ulazima wa uvamizi na uangiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya eneo hili kuhitimishwa haraka iwezekanavyo.
-
Wajapani waandamana kupinga ubeberu wa Marekani
Jan 10, 2020 12:05Raia wa Japan wamefanya maandamano makubwa mjini Tokyo kupinga siasa za kutaka vita za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ombi la China, Japan na Korea Kusini kwa Korea Kaskazini
Dec 26, 2019 01:10Viongozi wa China, Japan na Korea Kusini waliokutana kwa kikao maalumu cha pamoja kilichofanyika kusini mwa China, wametoa mwito mwishoni mwa kikao chao hicho wa kuitaka Korea Kaskazini iache kikamilifu kufanya majaribio ya makombora.
-
Rouhani: Kumefikiwa mapatano mazuri sana huko Malaysia na Japan
Dec 22, 2019 07:12Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alielekea Malaysia na Japan kufuatia mwaliko rasmi wa Mawaziri Waku wa nchi hizo jana alasiri alirejea Tehran.
-
Sayyid Abbas Araqchi: Mashauriano baina ya Iran na Japan yataendelea
Dec 21, 2019 13:37Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuwa, mashauriano ya kisiasa kati ya Iran na Japan yataendelea.
-
Rais Rouhani akiwa Japan: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havimnufaishi yoyote
Dec 21, 2019 03:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya upande mmoja ya Marekani ya kujiondoa kinyume cha sheria kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haina maslahi kwa Marekani yenyewe wala upande wowote wa mapatano hayo ya kimataifa.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia
Dec 17, 2019 08:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani
Nov 17, 2019 13:27Kwa mara kadhaa Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akisisitizia suala la kuangaliwa upya uhusiano wa Washington na waitifaki wake katika pembe mbalimbali za dunia.