-
Sayyid Abbas Araqchi: Mashauriano baina ya Iran na Japan yataendelea
Dec 21, 2019 10:07Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuwa, mashauriano ya kisiasa kati ya Iran na Japan yataendelea.
-
Rais Rouhani akiwa Japan: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havimnufaishi yoyote
Dec 20, 2019 23:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya upande mmoja ya Marekani ya kujiondoa kinyume cha sheria kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haina maslahi kwa Marekani yenyewe wala upande wowote wa mapatano hayo ya kimataifa.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia
Dec 17, 2019 04:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani
Nov 17, 2019 09:57Kwa mara kadhaa Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akisisitizia suala la kuangaliwa upya uhusiano wa Washington na waitifaki wake katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Japan yataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA
Oct 24, 2019 13:11Waziri Mkuu wa Japan ametoa mwito kwa nchi zote husika kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA.
-
Kimbunga Hagibis chaua watu 36 nchini Japan
Oct 14, 2019 04:22Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kimbunga Hagibis mashariki na katikati mwa Japan imeongezeka na kufikia 36.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Libya wakutana Japan pembizoni mwa kikao cha TICAD
Aug 28, 2019 02:47Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Libya wamekutana nchini Japan na kujadili matukio ya hivi karibuni nchini Libya na eneo zima la Afrika Kaskazini.
-
Hitilafu za Marekani na wanachama wa G20 zagubika mkutano wa kundi hilo, Japan
Jun 28, 2019 02:01Viongozi wa nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani wanakutana leo katika mji wa Osaka nchini Japan huku wingu kubwa la hitilafu na mivutano kati ya Marekani na baadhi ya wanachama wa kundi hilo likigubika ajenda ya mkutano huo.
-
Japan: Mazungumzo ya Abe Shinzō na Rais Hassan Rouhani, yalikuwa chanya
Jun 13, 2019 02:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan ameyataja mazungumzo ya Rais Hassan Rouhani wa Iran na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abe Shinzō kuwa yalikuwa chanya na yenye faida.
-
Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan
Jun 12, 2019 23:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hamu iliyodhihirishwa na Japan ya kutaka kuwekeza katika maeneo ya kusini mwa Iran inadhamini suala la kustawisha uhusiano kati ya nchi mbili.