-
Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 10, 2019 11:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kufanya mazungumzo na kila moja ya nchi za Kiarabu za ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuhusu masuala ya pande mbili na kieneo."
-
Iran yamshangaa Netanyahu kwa kutiwa kiwewe na safari ya Shinzo Abe nchini
Jun 10, 2019 08:00Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkejeli na kumshangaa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa kuingiwa na kiwewe kutokana na safari tarajiwa ya Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan hapa mjini Tehran.
-
Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini
May 27, 2019 02:21Rais Donald Trump wa Marekani anafanya safari ya siku tatu nchini Japan.
-
Mgogoro wa kibiashara washtadi kati ya Marekani na Japan licha ya Trump kuwepo mjini Tokyo
May 26, 2019 13:55Mgogoro wa kibiashara umeshtadi kati ya Marekani na Japan, licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwepo mjini Tokyo.
-
Zarif: Hakuna uwezekano wowote wa kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani
May 17, 2019 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufanya mazungumzo na Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia yanayofahamika kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Waziri Mkuu wa Japan mjini Tokyo
May 16, 2019 09:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amekutana na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe mjini Tokyo ambapo wamejadili uhusiano wa nchi mbili, masuala muhimu ya kieneo na kimataifa na hasa kuhusu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA.
-
Mataifa yenye uchumi mkubwa Asia, yapinga siasa za upande mmoja za Marekani
May 03, 2019 04:37Nchi za China, Japan na Korea Kusini ambazo zinajulikana kama nchi zenye uwezo mkubwa wa kiuchumii barani Asia, zimetangaza kupinga siasa mbovu za upande mmoja za Marekani katika nyuga za kimataifa.
-
Korea Kaskazini: Japan inakusudia kurejesha mfumo wa kijeshi katika eneo
Oct 18, 2018 08:04Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa azma ya Japan ya kuelekea kwenye mfumo wa kijeshi kwamba, kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo ni kurejesha kipindi kilichopita cha umwagaji damu.
-
Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini
Sep 30, 2018 01:26Huku maneva ya kijeshi ya pamoja kati ya Japan na nchi za Magharibi yanayoyashirikisha majeshi ya anga na baharini yakiendelea, serikali za Korea Kaskazini na China zimetoa onyo kali na kuItaja Luteka hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa ajili ya usalama na amani ya maeneo ya mashariki na kusini mwa Asia.
-
Idadi ya waliofariki dunia katika mtetemeko wa ardhi wa Japan wafikia 44, majeruhi ni 660
Sep 10, 2018 07:15Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliotokea kaskazini mwa Japan wiki iliyopita imefikia watu 44 huku wengine 660 wakijeruhiwa. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa rasmi ya serikali iliyotolewa leo Jumatatu.