-
Japan yasisitiza kuendelea kununua mafuta ya Iran
Sep 04, 2018 13:42Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan amesisitiza kufanyika juhudi za kuendelea kuagiza mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Hamu ya Korea Kaskazini kuboresha uhusiano wake na Japan
Aug 28, 2018 07:56Mwanzoni mwa mwezi huu, Korea Kaskazini ilimuachilia huru raia wa Japan aliyekamatwa na nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya ujasusi.
-
Trump na Shinzo Abe: Tutaendelea kuibana kwa vikwazo Pyongyang
Aug 24, 2018 07:56Rais Donald Trump wa Marekani na Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan wamesema kuwa, wataendeleza vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini ili kutatuliwa kadhia ya silaha za nyuklia katika Rasi ya Korea.
-
Korea Kaskazini yalalamikia undumakuwili wa Marekani katika uga wa nyuklia
Aug 06, 2018 12:59Serikali ya Korea Kaskazini kupitia gazeti la chama tawala la Rodong Sinmun, imesema kuwa, hatua ya kurefushwa mkataba wa nyuklia kati ya Marekani na Japan ni kitendo kilicho 'dhidi ya ubinaadamu na dhidi ya amani.'
-
Korea Kaskazini yapinga mpango wa Japan wa kuweka ngao ya makombora
Jul 30, 2018 04:39Serikali ya Korea Kaskazini im imekosoa hatua ya Japan ya kutaka kuweka ngao ya makombora ndani ya nchi hiyo na kuongeza kuwa Shinzō Abe, Waziri Mkuu wa Japan anakusudia kuibadili nchi yake iwe dola lenye nguvu za kijeshi.
-
Waliopoteza maisha katika mafuriko, maporomoko Japan ni zaidi ya watu 140
Jul 10, 2018 07:43Watu zaidi ya 140 wamepoteza maisha, huku hatima ya makumi ya wengine ikiwa haijulikani kutokana na athari za mvua kubwa zilizonyesha magharibi na katikati mwa Japan.
-
27 wapoteza maisha katika mafuriko Japan, makumi ya wengine watoweka
Jul 08, 2018 02:25Watu wasiopungua 27 wamepoteza maisha, watano wakiwa mahututi na wengine 47 hawajulikani waliko baada ya mvua kali kunyesha magharibi na katikati mwa Japan na kusababisha mafuriko.
-
Ubeberu mpya wa Marekani na majibu makali ya Japan
May 19, 2018 04:12Ubeberu mpya wa Marekani uliozikasirisha nchi waitifaki na wapinzani wake zikiwemo za Ulaya pamoja na China na Russia, umekuwa mkubwa kiasi kwamba hata Japan na Korea Kusini ambazo ni waitifaki wakubwa wa Washington nao wameshindwa kunyamaza na wametishia kuchukua hatua kali kujibu kuongezewa ushuru bidhaa zao zinazoingia nchini Marekani.
-
Korea Kusini yashangazwa na madai ya Japan kwamba inaitumia Korea Kaskazini mafuta
May 14, 2018 13:59Serikali ya Korea Kusini sambamba na kukanusha madai ya Japan kwamba, inatuma mafuta kwenda Korea Kaskazini kwa siri, imesema kuwa Seoul imefungamana vilivyo na vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Pyongyang.
-
Syria yataka kusitishwa jinai za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani
May 03, 2018 06:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemtumia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama la umoja huo ikitaka kusitishwa jinai za kivita zinazofanywa na muungano eti wa kimataifa chini ya uongozi wa Marekani dhidi ya taifa la Syria.