Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Japan

  • Korea Kaskazini: Vikwazo na mashinikizo dhidi Pyongyang havitakuwa na taathira yoyote

    Korea Kaskazini: Vikwazo na mashinikizo dhidi Pyongyang havitakuwa na taathira yoyote

    Mar 01, 2018 03:57

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa dhidi yake kamwe havitakuwa na taathira yoyote na kwa msingi huo jamii ya kimataifa inatakiwa kuhitimisha ndoto hizo za alinacha katika uwanja huo.

  • Korea Kaskazini yalaani majaribio ya makombora ya Marekani na Japan

    Korea Kaskazini yalaani majaribio ya makombora ya Marekani na Japan

    Feb 23, 2018 21:19

    Serikali ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ya kulaani vikali majaribio ya makombora yaliyofanywa na Marekani na Japan.

  • Korea Kusini yakataa ombi la Japan la kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika Rasi ya Korea

    Korea Kusini yakataa ombi la Japan la kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika Rasi ya Korea

    Feb 11, 2018 01:13

    Rais Moon Jae in wa Korea Kusini ameonyesha kutoridhishwa na takwa la Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan la kutaka kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika peninsula ya Korea.

  • TV ya Japan yaomba radhi kwa kuwatisha raia kuwa Pyongyang ingeshambulia jana usiku

    TV ya Japan yaomba radhi kwa kuwatisha raia kuwa Pyongyang ingeshambulia jana usiku

    Jan 17, 2018 04:35

    Televisheni ya taifa nchini Japan NHK imewaomba radhi wananchi baada ya kutoa habari potovu kwamba Korea Kaskazini ingeshambulia nchi hiyo usiku wa jana.

  • Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan

    Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan

    Nov 29, 2017 04:45

    Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine la balestiki lililopaa juu ya kisiwa cha Japan na linaloweza kulenga sehemu yoyote ya ardhi ya Marekani, huku ikisisitiza kuwa sasa ina uwezo kamili wa kinyuklia.

  • Trump: Nilikuwa sijui kwamba duniani kuna nchi nyingi kiasi chote hiki

    Trump: Nilikuwa sijui kwamba duniani kuna nchi nyingi kiasi chote hiki

    Nov 08, 2017 04:22

    Rais wa Marekani, Donald Trump amedhihirisha kwa uwazi ujinga na upofu wake kuhusiana na elimu ya jiografia na siasa za kimataifa aliposema bila matani kwamba alikuwa hajui kuwa duniani kuna nchi nyingi kiasi chote hiki mpaka alipochaguliwa kuwa rais wa Marekani.

  • Marekani yazidi kufanya hali ya mambo Korea kuwa mbaya

    Marekani yazidi kufanya hali ya mambo Korea kuwa mbaya

    Oct 24, 2017 11:27

    Marekani imeendelea kufanya hali ya mambo katika eneo la Peninsula ya Korea kuwa mbaya na hivyo kuhatarisha usalama wa eneo hilo.

  • US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    Oct 11, 2017 04:49

    Kwa mara nyingine tena Marekani imefanya maneva ya kijeshi kwa kushirikiana na Korea Kusini na Japan katika Peninsula Korea.

  • Korea Kaskazini: Japan inajitafutia matatizo kwa kushirikiana na Marekani

    Korea Kaskazini: Japan inajitafutia matatizo kwa kushirikiana na Marekani

    Aug 31, 2017 03:30

    Serikali ya Pyongyang imetoa tahadhari kwa Japan kwamba, nchi hiyo inajitafutia matatizo kutokana na hatua yake ya kushirikiana na Marekani na lengo lake la kutaka kusimika ngao ya makombora ya AEGIS nchini humo.

  • Korea Kasazini yarusha kombora kuelekea Japan, UNSC kuitisha kikao cha dharura

    Korea Kasazini yarusha kombora kuelekea Japan, UNSC kuitisha kikao cha dharura

    Aug 29, 2017 03:08

    Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC kuitisha mkutano wa dharura baada ya Korea Kaskazini kuvurumisha kombora lililoruka katika anga yake na kudondoka katika pwani ya kisiwa cha Hokkaido, mashariki mwa Japan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS