-
Japan: Suala la kuzunguza na Korea Kaskazini limepitwa na wakati
Jul 18, 2017 21:57Msemaji wa serikali ya Japan, Norio Maruyama ametaka kuzidishwa mashinikizo dhidi ya Korea Kaskazini akisema kuwa muda wa kufanya mazungumzo na nchi hiyo umepita.
-
Japan: Tutaishawishi Russia isaidie katika kutatua mgogoro wa eneo la Korea
Jul 11, 2017 03:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Japan, Norio Maruyama amesema kuwa, Tokyo na washirika wake wataishawishi Russia ili iweze kushiriki katika kutatuliwa mgogoro wa eneo la Korea.
-
Trump atishia vikwazo vikali zaidi baada ya Korea Kaskazini kufanyia majaribio kombora jipya
May 14, 2017 03:21Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuiwekea vikwazo vikali zaidi Korea Kaskazini, baada ya Pyongyang kufyatua kifaa kinachoaminika kuwa kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan.
-
Japan na Korea Kusini zakubaliana juu ya kutatua suala la Korea Kaskazini
May 12, 2017 11:44Waziri Mkuu wa Japan na Rais mpya wa Korea Kusini wamekubaliana kudumisha ushirikiano wa pamoja na wa karibu kwa ajili ya kutatua suala la nyuklia na makombora ya Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yarusha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan
Apr 05, 2017 02:59Korea Kaskazini imevurumisha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan, siku chache baada ya nchi hiyo kuapa kulipiza kisasi juu ya vikwazo vipya dhidi yake.
-
Korea Kaskazini: Kitendo cha Japan cha kurusha satalaiti ya ujasusi angani, ni hujuma dhidi yetu
Mar 23, 2017 11:25Serikali ya Korea Kaskazini imelaani hatua ya Japan ya kurusha angani satalaiti ya ujasusi na kuitaja kuwa ni hujuma dhidi yake.
-
Japan: Ni lazima tujiandae kukabiliana na mashambulizi tarajiwa ya Korea Kaskazini
Mar 09, 2017 04:28Waziri wa zamani wa Ulinzi Japan ametaka kuimarishwa uwezo wa kijeshi kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi tarajiwa ya Korea Kaskazini.
-
Marekani, Korea 2 na Japan ziko katika ncha ya kupigana
Mar 07, 2017 03:47Washington imeanza kutuma nchini Korea Kusini mfumo wa ulinzi wa makombora wa THAAD, baada ya Korea Kaskazini kusema kuwa, jaribio lake la hivi punde la makombora ni maandalizi kwa ajili ya kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani nchini Japan.
-
China yaonya kuhusu makubaliano ya kijeshi kati ya Japan na Korea Kusini
Nov 25, 2016 01:26Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa tahadhari juu ya makubaliano ya kijeshi baina ya Japan na Korea Kusini.
-
Afrika ingali na uwezo wa kuvutia uwekezaji
Aug 27, 2016 23:32Waziri Mkuu wa Japan ameanza ziara yake ya siku mbili huko Kenya kwa lengo la kushiriki katika Kongamano la Kimataifa la Tokyo kwa ajili ya Ustawi wa Afrika mashuhuri kama TICAD.