-
Wajapan waandamana kulaani ziara ya Rais wa Marekani Hiroshima
May 27, 2016 23:19Maelfu ya wananchi wa Japan wameandamana kulaani kitendo cha Rais Barack Obama wa Marekani cha kukataa kuomba radhi kwa jinai zilizofanywa na nchi yake za kuishambulia kwa mabomu ya nyuklia miji ya Hiroshima na Nagasaki ya nchi hiyo.
-
Marekani yaendelea kukaidi kuomba radhi kwa kuua malaki ya watu Japan kwa mabomu ya atomiki
May 23, 2016 23:20Rais wa Marekani ameapa kuwa hatoiomba radhi Japan kwa kuishambulia kijeshi nchi hiyo kwa mabomu ya atomiki.
-
Mitetemeko ya ardhi yaitikisa kusini mwa Japan, zaidi ya 16 waaga
Apr 16, 2016 03:25Zilzala ya pili yenye ukubwa wa 7.3 kwa kipimo cha rishta imeutikisa mji wa Kumamoto, katika kisiwa cha Kyushu eneo la kusini mwa Japan mapema leo na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 16 huku mamia ya wengine wakijeruhiwa na wengine wengi kuachwa bila makazi.
-
US: Kerry hatawaomba msahamaha Wajapan kutokana na mauaji ya Hiroshima
Apr 11, 2016 02:53Marekani imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo hataliomba msamaha taifa la Japan kutokana na mauaji ya maelfu ya watu wa Hiroshima yaliyofanywa na ndege za Marekani mwaka 1945.