Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Hatua ya pili; kiwango cha urutubishaji urani ni cha kudhamini mahitaji ya Iran na sio ya JCPOA

    Hatua ya pili; kiwango cha urutubishaji urani ni cha kudhamini mahitaji ya Iran na sio ya JCPOA

    Jul 08, 2019 07:14

    Baada ya kumalizika muhula wa kwanza wa siku 60 zilizotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa anchi za Ulaya ili zitekeleze ahadi zao za mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA, Tehran imetangaza kuanza hatua ya pili ya kupunguza ahadi zake kwa mujibu wa vipengee vya 26 na 36 vya mapatano hayo, kwa kuongeza kiwango cha urutubishaji wake wa madini ya urani.

  • Iran yaingia hatua ya pili ya kupunguza uwajibikaji wake kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Iran yaingia hatua ya pili ya kupunguza uwajibikaji wake kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Jul 07, 2019 07:43

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo imetangaza kuanza kutekeleza hatua ya pili ya kupunguza uwajibikaji wake kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Jul 06, 2019 07:19

    Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi wanachama wa Ulaya katika kundi la 4+1 mara kwa mara zimekuwa zikisisitiza juu ya ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; na hata kudai kuwa zimeanzisha mfumo maalumu kwa lengo hilo. Pamoja na hayo, shaari na nara zinaotolewa na pande hizo za Ulaya zinakinzana na matendo yao.

  • Sisitizo la Russia la nafasi hasi ya vikwazo vya Marekani katika hatua za hivi karibuni za Iran

    Sisitizo la Russia la nafasi hasi ya vikwazo vya Marekani katika hatua za hivi karibuni za Iran

    Jul 05, 2019 23:36

    Russia ambayo ni moja ya wanachama muhimu wa kundi la 4+1 la mapatano ya nyuklia ya JCPOA imesisitizia haja ya kuendelezwa mapatano hayo kwa hali yoyote ile.

  • Zarif: Hatua ya Iran kupunguza ahadi ilizojifunga nazo itazuia JCPOA kuvunjika kikamilifu

    Zarif: Hatua ya Iran kupunguza ahadi ilizojifunga nazo itazuia JCPOA kuvunjika kikamilifu

    Jul 05, 2019 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran na kueleza bayana kwamba, hatua ya kupunguza ahadi ilizojifunga nazo Iran kwa mujibu wa mapatano hayo inachukuliwa kwa shabaha ya kuzuia JCPOA isivunjike kikamilifu.

  • Uhispania: Iran haijavunja hata mara moja mapatano ya JCPOA

    Uhispania: Iran haijavunja hata mara moja mapatano ya JCPOA

    Jul 03, 2019 22:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania ambaye anatarajiwa kuchukua nafasi ya Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa, uamuzi wa hivi karibuni wa Iran haujavunja vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kimsingi hilo ni suala la kiufundi.

  • Rais Rouhani: Kama Marekani inaogopa moto basi haipaswi kuwasha muale

    Rais Rouhani: Kama Marekani inaogopa moto basi haipaswi kuwasha muale

    Jul 03, 2019 08:31

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yana manufaa kwa mataifa yote, eneo la Mashariki ya Kati na dunia nzima na kuongeza kuwa, Kama Marekani inaogopa moto haipaswi kuwasha muale na itekeleze maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Hatua mpya ya Iran katika kujibu ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya; Iran yavuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa

    Hatua mpya ya Iran katika kujibu ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya; Iran yavuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa

    Jul 02, 2019 22:04

    Kwa mujibu wa kifungu nambari 36 cha makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, Iran imevuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa.

  • Balozi wa Iran UN: INSTEX bila mtaji ni sawa na gari zuri bila mafuta

    Balozi wa Iran UN: INSTEX bila mtaji ni sawa na gari zuri bila mafuta

    Jun 30, 2019 03:09

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX) ni sawa na gari zuri ambalo halina mafuta.

  • Taarifa ya mwisho ya kikao cha kamisheni ya JCPOA yatolewa Vienna

    Taarifa ya mwisho ya kikao cha kamisheni ya JCPOA yatolewa Vienna

    Jun 29, 2019 12:24

    Kamisheni ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA imetoa taarifa mwishoni mwa kikao chake huko Vienna na kutangaza kuwa wanachama wa JCPOA wanafanya jitihada za kufungua mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya, Instex mbele ya wadau wa masuala ya uchumi wa nchi nyingine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS