-
Kikao cha Vienna na 'JCPOA'; udharura wa kuwa huru Ulaya kivitendo
Jun 29, 2019 02:17Sambamba na kukaribia kumalizika kwa muhula wa siku 60 uliotolewa na Iran kwa nchi za Ulaya ili zichukue hatua za kivitendo zenye lengo la kulinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA, udiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unafuatilia maslahi yake ya kitaifa bila kujali mashinikizo ya kisiasa na kiuchumi.
-
Misimamo ya kimasharti ya troika ya Ulaya kuhusu JCPOA
Jun 26, 2019 02:17Huku muda uliowekwa na Iran wa kuongeza kiwango cha kutochunga ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA kutokana na upande wa pili wa mapatano hayo kutotekeleza kabisa ahadi zao ukikaribia, troika ya Ulaya yaani nchi tatu za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zimeanzisha harakati za kidiplomasia na kipropaganda za kujaribu kuizuia Iran isichukue hatua zaidi za kupunguza utekelezaji wa ahadi zake.
-
Katibu Mkuu wa UN: Iran ingali imefungamana na JCPOA
Jun 21, 2019 06:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Federica Mogherini asisitiza kulindwa makubaliano ya JCPOA
Jun 20, 2019 03:03Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran: Hatutarefusha muhula wa siku 60 wa EU kufungamana na JCPOA
Jun 19, 2019 08:15Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema muda wa siku 60 ambao Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliupa Umoja wa Ulaya uwe umetekeleza ahadi zake za kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hautarefushwa.
-
Njia za utatuzi za Rais Vladmir Putin kwa ajili ya mapatano ya JCPOA
Jun 17, 2019 00:04Hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na pia ukiukaji wa ahadi wa mara kwa mara wa Umoja wa Ulaya ambao umeshindwa kulinda mapatano hayo kupitia kuanzisha mfumo utakaosaidia kupunguza athari hasi za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, ni mambo yaliyoyaweka katika hali mbaya mapatano hayo.
-
Rouhani: Iran imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani + Video
Jun 15, 2019 03:40Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia mchango wa Tehran katika kupambana na makundi ya kigaidi na ukufurishaji huko Syria na Iraq na kuongeza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani.
-
Ukosoaji mkali wa Sweden na Russia kwa mienendo hasi ya Marekani kuhusu mapatano ya JCPOA
Jun 15, 2019 03:04Hatua ya Marekani ya kujiodoa kwenye mapatano ya nyukali ya JCPOA hapo mwezi Mei 2018 na kisha kurejesha vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran katika hatua mbili, sambamba na kukosolewa na wanachama wa kundi la 4+1, imekosolewa pia na nchi nyingine katika ngazi ya kimataifa kama vile Sweden.
-
Jumuiya ya SCO yataka kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA
Jun 14, 2019 23:15Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai (SCO) imezitaka pande husika za makubaliano ya nyuklia ya Iran (JCPOA) kuheshimu na kutekeleza wajibu wao wa kufungamana na mapatano hayo ya kimataifa.
-
Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran
Jun 13, 2019 06:50Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akichukua misimamo ya chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni amekuwa akitumia stratijia ya 'mashinikizo ya juu zaidi' kuilazimisha Iran ikubali matakwa yake ya kidhalimu.