-
Wairan waandamana nchi nzima kuunga mkono hatua za nchi yao kuhusu mapatano ya JCPOA
May 10, 2019 09:00Wananchi wa Iran ya Kiislamu leo Ijumaa wameandamana nchi nzima kuunga mkono hatua zilizochukuliwa humu nchini za kusimamisha utekelezaji wa baadhi ya ahadi za Tehran katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Ulaya na Marekani zaendelea kukosoa hatua za Trump dhidi ya mapatano ya JCPOA
May 09, 2019 23:28Wanasiasa na waharakati wa makundi ya kiraia barani Ulaya na nchini Marekani wameendelea kukosoa hatua za White House dhidi ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, hatua ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi'
May 09, 2019 23:26Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran katika hutua mbili yaani mwezi Agosti na Novemba mwaka huo huo.
-
Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu maamuzi ya Iran, matarajio ya kulindwa JCPOA bila kutolewa fursa
May 09, 2019 02:47Mapatano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA yalifikiwa mjini Vienna mwezi Julai 2015 kati ya Iran na kundi la 5+1, huku utekelezaji wake ukiwa ulianza mwezi Januari 2016.
-
China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran
May 08, 2019 09:20Russia, China, Ufaransa na Ujerumani ambazo ni katika nchi tano zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimetoa radimali kufuatia uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kusimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano hayo, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo muhimu ya kimataifa.
-
Larijani: Hatua zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran zinaonesha kuchanganyikiwa Washington
May 05, 2019 03:08Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa hatua zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran zinaonesha kuchanganyikiwa viongozi wa nchi hiyo na hawajui cha kufanya.
-
Hatua mpya ya Marekani dhidi ya makubaliano ya JCPOA
May 04, 2019 06:38Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu sana katika fremu ya kulinda amani na usalama wa kimataifa; hata hivyo tarehe 8 mwezi Mei mwaka jana Marekani ilijitoa kwenye makubaliano hayo. Serikali ya Trump mwezi Agosti na Novemba mwaka 2018 katika marhala mbili iliiwekea tena Iran vikwazo vya nyuklia; na ingali inaendeleza mashinikizo ya vikwazo dhidi ya Tehran.
-
Tahadhari ya Katibu Mkuu wa OPEC kuhusu taathira hasi za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta
May 03, 2019 23:08Hatua ya serikali ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA imekabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wanunuzi wa mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la kimataifa na pia kutoka kwa wakuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC).
-
Kamati ya Nyuklia ya Iran: Tutajiondoa NPT, JCPOA iwapo tutaendelea kuwekewa vikwazo
May 01, 2019 03:07Mwenyekiti wa Kamati ya Nyuklia ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema iwapo taifa hili litaendelea kukabiliwa na vikwazo, basi Tehran itajitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Atomiki (NPT) sambamba na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Zarif: Vikwazo havitabadilisha sera za Iran
Apr 24, 2019 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hazitabadilishwa kwa vikwazo."