Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • "Trump kujitoa JCPOA ndio uamuzi wa kipumbavu zaidi ndani ya miaka 50"

    Jan 23, 2022 23:11

    Seneta mmoja mashuhuri huko Marekani amesema kitendo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump cha kujitoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, ndio uamuzi wa kipumbavu zaidi katika kipindi cha miaka 50 iliyopita.

  • Wall Street Journal:  Iran inataka dhamana ya kisheria ili Marekani isijitoe tena katika JCPOA

    Wall Street Journal: Iran inataka dhamana ya kisheria ili Marekani isijitoe tena katika JCPOA

    Jan 18, 2022 03:52

    Jarida la Wall Street Journal limeripoti kuwa, Iran inataka ipatiwe dhamana ya kisheria ili Marekani isiweze kujitoa kwa mara nyingine tena ndani ya mapatano ya JCPOA.

  • White House: Kujitoa Trump kwenye mapatano ya JCPOA lilikuwa kosa kubwa

    White House: Kujitoa Trump kwenye mapatano ya JCPOA lilikuwa kosa kubwa

    Jan 13, 2022 04:19

    Viongozi wa Ikulu ya Marekani, White House wamesema kuwa, kitendo cha Donald Trump cha kujitoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA lilikuwa ni kosa kubwa kutokana na rais huyo wa zamani wa Marekani kutokuwa na ratiba zozote za kukabiliana na yatakayotokea baada ya kujitoa kwake.

  • Iran yaijia juu WSJ ya US kwa kuchapisha makala ya kipumbavu

    Iran yaijia juu WSJ ya US kwa kuchapisha makala ya kipumbavu

    Jan 08, 2022 09:10

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelikosoa vikali gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal kwa kuchapisha makala ya kipumbavu na ya kihasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, wakati huu wa kuendelea kufanyika mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Iran huko Vienna.

  • Pande zote zathibitisha kupigwa hatua katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna

    Pande zote zathibitisha kupigwa hatua katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna

    Jan 08, 2022 04:34

    Mwakilishi wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna amesema, pande zote washiriki katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna wamethibitisha kuwa hatua zimepigwa kwa ajili ya kufikia mwafaka juu ya mazungumzo hayo.

  • Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna

    Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna

    Dec 12, 2021 04:27

    Kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema:"Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA"

  • Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna

    Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna

    Dec 12, 2021 01:07

    Kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema:"Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA"

  • Mkuu wa CIA akiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi

    Mkuu wa CIA akiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi

    Dec 07, 2021 23:26

    Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amekiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi.

  • Hossein Amir-Abdollahian: Marekani haiwezi kurejea kwenye mapatano ya JCPOA bila ya kuondoa vikwazo

    Hossein Amir-Abdollahian: Marekani haiwezi kurejea kwenye mapatano ya JCPOA bila ya kuondoa vikwazo

    Dec 07, 2021 04:30

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, hakuna njia yoyote ya kuiwezesha Marekani kurejea katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya kuondoa vikwao vyake vya kidhalimu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Amir-Abdollahian: Jamhuri ya Kiislamu inataka kutekelezwa mapatano ya JCPOA

    Amir-Abdollahian: Jamhuri ya Kiislamu inataka kutekelezwa mapatano ya JCPOA

    Dec 06, 2021 23:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari na mwenzake wa Syria kwamba, Iran haitaki lolote katika mazungumzo ya Vienna ghairi ya kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS