-
Admeri Sayyari: Uwezo wa Iran wa kuzuia mashambulizi umeongezeka pakubwa/ Taifa la Iran haliwezi kushindwa
Sep 06, 2026 11:36Naibu Mkuu wa Jeshi la Iran amesema kuwa uwezo wa Jamhuri ya Kislamu wa kuzuia mashambulizi dhidi umeimarika pakubwa.
-
Brigedia Jenerali Talaei-Nik: Iran inaandaa ‘mambo ya kushangaza’ katika upande wa silaha na mbinu kwa ajili ya vita vya baadaye
Aug 29, 2026 10:50Iran imeandaa silaha, vifaa, teknolojia na mbinu mpya zitakazotumiwa uwanjani iwapo vita vingine vitazuka, huku ikizingatia mkakati wa kumshangaza adui. Haya yameelezwa na Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Masuala ya Lojistiki ya Vikosi vya Ulinzi vya Iran.
-
Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran: Iran kupanua kwa mafanikio mifumo ya ulinzi
Aug 27, 2026 04:24Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran amesema kuwa Iran inapiga hatua mbele kwa kutegemea kikamilifu uwezo wake wa ndani, ikipanua mifumo yake ya ulinzi wa anga na kuzalisha nakala za mifumo ile iliyofanya vyema wakati wa vita vya siku 40.
-
Maseneta wa Marekani wataka kusikilizwa hoja kuhusu mashinikizo yanayowasibu wanajeshi wao katika vita dhidi ya Iran
Aug 26, 2026 03:25Kundi la maseneta wa Marekani limetaka kufanyike kikao cha kusikiliza maoni bungeni kuhusu kuchoka na mashinikizo yanayowasumbua wanajeshi wa Marekani kutokana na vita dhidi ya Iran.
-
Jenerali: Jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa
Aug 13, 2026 04:37Naibu wa Mambo ya Kiutendaji katika Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utayari wa kijeshi na uwezo wa kimkakati wa jeshi hilo vimelazimisha Marekani kurekebisha malengo yake ya kisiasa mara kwa mara, akionya kuwa jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa.
-
Wanajeshi wa Marekani wauana ndani ya manuari ya kivita ya USS Abraham Lincoln
Aug 12, 2026 03:38Wanajeshi saba wa Jeshi la Wanamaji la Marekani wameripotiwa kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mapigano makali ndani ya meli ya USS Abraham Lincoln, huku machafuko yanayoongezeka miongoni mwa wafanyakazi wa meli hiyo yakiweka wazi mashinikizo makubwa ndani ya jeshi la Marekani kutokana na majukumu ya muda mrefu ya kivita.
-
Kamanda Mkuu wa Iran: Nchi za kanda hii zinazotumika kama ngao ya Marekani 'zitateketea katika moto wa vita'
Aug 01, 2026 11:32Mkuu wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Khatamul-Anbiya (SAW) amezionya nchi za kanda hii kuhusu kushirikiana na Marekani akisema: Nchi yoyote itakayotumika kama "ngao ya ulinzi" kwa Washington itaungua katika moto wa vita.
-
'Nchi yoyote inayopokea pesa kutoka kwenye mali za Iran hairuhusiwi kupita katika Mlango-Bahari wa Hormuz'
Jul 29, 2026 02:41Msemaji wa Makao Makuu ya Kijeshi ya Khatamul-Anbiyaa amesema: "Kampuni au nchi yoyote ile itakayopokea pesa kutoka kwenye mali za Iran haitaruhusiwa kupita kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz."
-
Jeshi la Iran laapa kutoa jibu kali zaidi dhidi ya uchokozi wowote siku zijazo
Jul 28, 2026 03:58Jeshi la Iran limeapa kutoa jibu kali na la nguvu zaidi dhidi ya uchokozi wa nchi yoyote katika siku zijazo.
-
Jeshi la Iran: Karibu miundombinu yote ya Marekani huko Erbil imeharibiwa
Jul 26, 2026 13:16Msemaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa karibu miundombinu yote ya Marekani katika mji wa Erbil, kaskazini mwa Iraq imeharibiwa.