-
Jeshi la Israel lamuua shahidi mwandishi mwingine wa habari huko Gaza
Sep 01, 2025 07:40Mwandishi wa Televisheni ya Al-Quds Today ameuawa shahidi katika shambulizi la Israel huko Gaza na hivyo kuzidisha idadi ya waandishi wa habari waliouawa shahidi katika vita na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Human Rights Watch: Shambulio la Israel dhidi ya jela ya Evin, Iran ilikuwa jinai ya kivita
Aug 15, 2025 03:28Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti na kueleza kwamba mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel tarehe 2 Julai dhidi ya Jela ya Evin mjini Tehran yalikuwa "kinyume cha sheria" na ni "uhalifu wa wazi wa kivita."
-
Baghaei: Israel imevunja rekodi zote za mauaji ya watoto duniani
Apr 19, 2025 13:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel huko Ghaza yamevunja rekodi zote duniani na kwamba huo ni uhalifu wa kivita, ni jinai dhidi ya ubinadamu na ni mauaji ya umati kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
-
Kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Apr 11, 2025 02:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa Gaza imekuwa machinjioni, na zaidi ya mwezi mmoja sasa hakuna msaada wowote uliopelekwa eneo hilo na kwamba wakazi wa Gaza hawana mafuta, dawa na bidhaa nyingine zinazohitajika.
-
Mashirika ya haki za binadamu ya Poland: Mkamateni waziri mhalifu wa Israel
Jan 28, 2025 07:59Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Poland yametoa wito wa kukamatwa Waziri wa Elimu wa Israel ambaye yuko safarini nchini humo.
-
Ansarullah ya Yemen yalaani operesheni ya kigaidi ya utawala katili wa Israel dhidi ya Lebanon
Sep 19, 2024 06:32Ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani vikali operesheni ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na kuitaja kuwa ni jinai ya kivita.
-
Gaza: Israel imevunja kabisa misikiti 31 na kuharibu vibaya makanisa 3
Oct 22, 2023 14:57Ofisi ya Vyombo ya Habari vya Serikali ya Ukanda wa Gaza imetangaza leo Jumapili kwamba idadi ya misikiti iliyovunjwa kabisa katika mashambulizi ya jeshi la Israel katika Ukanda wa Gaza imeongezeka na kufikia misikiti 31, na uharibifu mkubwa umerekodiwa katika makanisa 3.
-
Wabunge wa Kenya: Wanajeshi watenda jinai wa Uingereza wahukumiwe nchini
Apr 13, 2023 03:29Wanajeshi wa Jeshi la Uingereza wanaotoa mafunzo nchini Kenya wanaofanya mauaji nchini humo huenda wakakabiliwa na mashtaka katika mahakama za Kenya iwapo mapendekezo yaliyopendekezwa bungeni na Kamati ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni yatapitishwa.
-
Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita
Mar 19, 2023 07:41Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita ilitoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa Rais Vladmir Putin wa Russia.
-
Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria
Nov 14, 2021 11:12Gazeti la New York Times limetoa ripoti inayoonyesha kuwa, jeshi la Marekani limetenda uhalifu wa kivita kwa kuua makumi ya wanawake na watoto katika mashambulio ya anga liliyofanya nchini Syria kwa kisingizio cha kile kinachoitwa mapambano dhidi ya kundi la DAESH (ISIS).