-
Ujumbe wanaokusudia kuufikisha Wairaqi kwa maandalizi ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda Qassem Suleimani
Dec 25, 2020 02:29Wananchi na makundi mbalimbali ya Wairaqi wanajiandaa kwa hauli na maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu alipouliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani na Abu Mahdi Al-Muhandis.
-
Ripota wa Umoja wa Mataifa aunga mkono ripoti ya UN kuhusu mauaji ya kigaidi ya Jenerali Soleimani
Jul 12, 2020 02:36Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa ameunga mkono ripoti yake kuhusu mauaji ya kigaidi aliyofanyiwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na amesisitiza kuwa, Marekani haipaswi kulazimisha sheria zake za ndani ziwe za kimataifa.
-
Mousavi: Vikwazo vya silaha dhidi yake vikirefushwa, Iran itatoa jibu kali
Jul 11, 2020 00:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema iwapo vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vitarefushwa kufuatia mashinikizo ya Marekani basi Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali na muafaka.
-
Ripota Maalumu wa UN: Mauaji ya Soleimani yalikiuka sheria za kimataifa
Jul 07, 2020 07:18Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kamanda shahidi wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) yalikiuka sheria za kimataifa na Hati ya UN.
-
Jihadul Islami: Shahid Soleimani alikuwa na mchango mkubwa sana wa kuimarika muqawama wa Palestina
May 29, 2020 06:39Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina huko Lebanon amesisitiza kuwa, mchango wa Luteni Jenerali Shahid Qassem Soleimani, Kamanda wa Jeshi la Quds la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ni mkubwa sana katika kuimarika muqawama wa makundi ya Paelstina huko Ghaza kiasi kwamba muqawama wa Wapalestina umewashinda Wazayuni na kuzidi kuonesha udhaifu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Kukiri Masoud Barzani; Iran na shahidi Soleimani ndio waliongoza mapambano dhidi ya Daesh
Apr 11, 2020 10:09Masoud Barzani, Mkuu wa chama cha Demokrasia cha Kurdistan huko Iraq amefanya mahojiano na televisheni ya MBC ya nchini Saudi Arabia na kukiri kuwa Iran na Luteni Jenerali shahidi Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH walikuwa wa awali kabisa kulisaidia eneo la Kurdistan ya Iraq kuendesha vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Saudia yaipongeza Marekani kwa mauaji ya kigaidi ya Jenerali Soleimani
Jan 28, 2020 11:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameipongeza Marekani kwa kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) pamoja na wanzake kadhaa nchini Iraq.
-
Maveterani wa kivita Marekani wamtaka Trump aombe radhi kwa kudharau hasara kubwa iliyosababishwa na kipigo cha Iran
Jan 26, 2020 03:20Kundi moja la maveterani wa vita vya nje ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump aombe radhi kwa kudharau madhara waliyopata wanajeshi wa Marekani baada ya kambi yao ya Ain al Assad ya nchini Iraq kushambuliwa kwa makumi ya makombora ya Iran.
-
Russia yapinga vikali vitisho vya Marekani vya kumuua kigaidi Brig. Jen. Qaani
Jan 24, 2020 16:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani vitisho vilivyotolewa na Marekani vya kumuua kigaidi kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah).
-
Mousavi: Ndoto za Trump za kufikia mapatano mapya na Iran hazitoaguka
Jan 24, 2020 06:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ndoto ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuikia makubaliano mapya na Iran itaendelea kubakia kuwa ndoto isiyoagulika.