-
Wamarekani waendeleza maandamano kupinga ugaidi wa Washington wa kuwaua mashujaa wa vita dhidi ya ugaidi
Jan 07, 2020 04:28Katika mwendelezo wa maandamano ya raia wa Marekani ya kupinga kuuawa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC na Naibu Mkuu wa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq, wanaharakati mbalimbali wa kupinga vita wamefanya maandamano katika maeneo tofauti ya jimbo la Massachusetts.
-
ANC yailaani Marekani kwa kumuua Lt. Jen. Qassem Soleimani
Jan 07, 2020 04:28Chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini kimetoa taarifa na kulaani hujuma ya Jeshi la Marekani ambayo ilipelekea kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)
-
Uturuki: Amani hatarini baada ya Marekani kumuua Lt. Jen. Soleimani
Jan 07, 2020 04:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema hatua ya Marekani kumuua kamanda Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ni kitendo ambacho kitahatarisha amani katika eneo.
-
Sisitizo la Erdogan la kutoyumkinika mauaji ya kigaidi ya shakhsia kama Kamanda Soleimani kuachwa bila ya jibu
Jan 07, 2020 04:27Wimbi kubwa la kauli, matamko na misimamo ya viongozi na shakhasia mbali mbali wa kimataifa pamoja na maandamano ya upinzani ya wananchi, vinaendelea kushuhudiwa katika nchi za eneo na zingine duniani kuhusiana na mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali shahidi Qassem Soleimani, kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Bintiye Shahidi Soleimani: Jina la Haj Qassem Soleimani linawatia kiwewe Wazayuni, Wakufurishaji na Mabeberu
Jan 06, 2020 13:43Bintiye Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: "Baba yangu aliwakosesha usingizi madhalimu wote, madikteta na wakufurishaji. Jina la Haj Qassem Soleimani sasa pia linawatia kiwewe Wazayuni, wakufurishaji na mabeberu."
-
Answarullah ya Yemen: Damu ya Jenerali Qasem Soleimani imeainisha njia ya kuhitimisha uwepo wa Marekani katika eneo
Jan 06, 2020 13:37Salim Al-Mughlis, Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Wananchi ya Answarullah ya nchini Yemen amesema kuwa shahidi Qassem Soleimani ameainisha njia ya kuhitimisha uwepo wa Marekani katika eneo hili.
-
Mamilioni ya Wairani wauaga mwili wa Jenerali Qassem Soleimani na mashahidi wenzake
Jan 06, 2020 13:22Marasimu ya kuuaga mwili wa shahidi Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, yamefanyika kwa kuhudhuriwa na mamilioni ya watu mjini Tehran.
-
Korea Kaskazini yatoa radiamali yake kufuatia kuuawa kigaidi na Marekani Jenerali Soleimani
Jan 06, 2020 13:15Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini vimetoa radiamali kufuatia kuuawa shahidi na askari magaidi wa Marekani Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuitaja Washington kuwa muhusika mkuu wa ongezeko la mizozo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kiongozi wa kidini Pakistan ataka ulipizaji kisasi dhidi ya Marekani kwa damu ya Jenerali Soleimani
Jan 06, 2020 13:08Mmoja wa viongozi wakubwa wa kidini nchini Pakistan amesisitizia ulazima wa kulipizwa kisasi kwa damu iliyomwagwa na Marekani ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
-
Sababu na taathira za mauaji ya kigaidi ya kamanda Qassem Soleimani kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
Jan 06, 2020 11:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amebainisha sababu, matokeo na taathira za jinai iliyofanywa na Marekani, ya kumuua kigaidi kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Naibu Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq Abu Mahdi Al-Muhandis pamoja na wanamuqawama wengine kadhaa; na akasisitiza kwamba, jinai hiyo ya Washington itapelekea kuanza historia mpya Asia Magharibi.