-
Kikao cha tano cha Kamisheni ya Pamoja ya Iran na Tanzania kimeshirikisha wanawake wengi
Oct 29, 2024 07:55Makamu wa Rais wa Iran anayehusika na Masuala ya Wanawake na Familia ametangaza kuwa kikao cha tano cha Kamisheni ya pamoja ya Iran na Tanzania kimefanyika kwa kushirikisha wanawake wengi na kwa lengo la kupanua uhusiano wa kiuchumi, kibiashara, kijamii na kiutamaduni kati ya nchi hizo mbili.
-
Nigeria: Ulimwengu wa Kiislamu ushikamane kuangamiza fikra ya ukufurishaji
Jun 11, 2022 07:27Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa ujumla wanapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja katika vita vya kuangamiza fikra potofu ya ukufurishaji.
-
Mauaji ya polisi wa Marekani dhidi ya raia weusi yatambuliwa kuwa ni jinai dhidi ya binadamu
Apr 29, 2021 02:21Uchunguzi uliofanywa na wataalamu mashuhuri wa haki za binadamu kote dunia kuhusiana na ukatili wa polisi wa Marekani umebaini kuwa, mauaji yanayofanywa kwa mpangilio maalumu na ya kimfumo, na vitendo vya polisi vya kuwapiga na kuwanyanyasa Wamarekani weusi ni sawa na jinai dhidi ya binadamu ambavyo vinapaswa kuchunguzwa kwa kina na kufuatiliwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
-
Marekani yashindwa kuzuia uteuzi wa Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN
Feb 01, 2019 02:21Jarida la Marekani la Foreign Policy limefichua kwamba, kabla ya kuteuliwa Michelle Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Marekani ilifanya jitihada kubwa za kuzuia uteuzi huo lakini jitihada hizo zimeambulia patupu.
-
Kamisheni ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi yaongezewa muda
Sep 28, 2018 14:33Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limeiongezea muda wa mwaka mmoja mwingine kamisheni ya uchunguzi ya umoja huo kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Burundi.
-
Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika atembelea Algeria
Mar 11, 2018 16:20Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika yuko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo kuhusu masuala ya bara la Afrika.
-
Arab League yaitaka UN kufanya uchunguzi juu ya ukatili wanaofanyiwa wafungwa wa Kipalestina katika jela za Israel
May 05, 2017 04:01Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeutaka Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na ukandamizaji wanaofanyiwa wafungwa wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.