-
Changamoto za Umoja wa Ulaya katika kuchangisha fedha kwa ajili ya Ukraine
Nov 30, 2025 23:16Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nzito katika kuzishawishi nchi wanachama zikubali kuchangia fedha za kuendelea kuiunga mkono Ukraine kwenye vita vyao na Russia.
-
Kwa nini Tume ya Ulaya haikubali hata maneno ya mwakilishi wake yenyewe kuhusu mauaji ya kimbari huko Gaza?
Sep 07, 2025 23:01Siku ya Ijumaa, Agosti 5, Kamisheni ya Umoja wa Ulaya ilipuuza kauli ya Teresa Ribera, Naibu MKuu Mtendaji wake kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na kudai kwamba jinai hizo zinaweza tu kuthibitishwa na mahakama husika.
-
Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel
Feb 05, 2025 23:02Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Wapalestina.
-
Lavrov: Sera ya 'Marekani Kwanza' inatoa mwangwi wa kaulimbiu ya Hitler ya 'Ujerumani iko juu ya wote'
Feb 05, 2025 02:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov ametahadharisha kuwa, sera ya Trump ya ‘Marekani Kwanza’ ina mfanano wa kutatanisha na kaulimbiu ‘Ujerumani iko juu ya wote’ iliyotumiwa na Wanazi kuthibitisha ukuu na kuwa bora kitaifa kuliko wengine.
-
Kikao cha viongozi wa Ulaya kwa ajili ya kukabiliana na athari za kifedha za janga la COVID-19
Jul 18, 2020 02:26Janga la COVID-19 au corona barani Ulaya limepelekea kuwepo nyufa na mapungufu katika Umoja wa Ulaya kuliko wakati mwingine wowote ule. Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanafahamu vizuri sana umuhimu wa changamoto zinazotokana na changa la COVID-19 hasa matatizo ya kifedha na kiuchumi na hivyo wanajaribi kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo.
-
Juncker asisitiza kudhibitiwa mipaka iwapo Brexit itafikiwa bila ya mapatano
Sep 22, 2019 23:11Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya amesisitiza kuhusu kudhibitiwa mipaka iwapo Uingereza itajitoa Umoja wa Ulaya bila ya kufikia mapatano.
-
Kamisheni ya Ulaya: Uingereza ndio mshindwa halisi wa Brexit isiyo na mpangilio
Aug 11, 2019 22:12Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya amepinga suala la kufanyika mazungumzo mengine kuhusu mapatano ya kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya na kuitaja Uingereza kuwa ni mshindwa halisi wa mpango huo usio na mpangilio.
-
Nchi za Umoja wa Ulaya zajizuia kuiweka Saudia katika orodha ya utakatishaji wa fedha
Mar 02, 2019 04:15Katika miaka ya hivi karibuni, Saudi Arabia imekuwa na nafasi muhimu katika uhalifu wa makundi ya magaidi wakufurishaji katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine duniani, kwa kuwapa magaidi hao misaada ya kila upande.
-
Nchi za Ulaya zapinga vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Aug 07, 2018 10:06Nchi za Ulaya zimetangaza kupinga vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kutangaza kuunga mkono mapatano ya nyuklia maarufu kama JCPOA.
-
Kifurushi cha misaada mipya ya Kamisheni ya Ulaya kwa Palestina
Feb 01, 2018 11:19Kamisheni ya Ulaya imetangaza wazi misaada yake mipya kwa Palestina inayojumuisha misaada kwa ajili ya kulinda nafasi ya Quds na kuwaunga mkono wananchi wa Palestina kuelekea kuasisi nchi huru ya Palestina kama sehemu ya njia ya kupatikana nchi mbili katika mzozo wa Mashariki ya Kati.