Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia akiwa na miaka 90

    Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia akiwa na miaka 90

    Apr 22, 2022 08:40

    Rais mstaafu wa Kenya, Emilio Mwai Kibaki amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Mzee Kibaki aliyezaliwa Novemba 15, 1931, aliliongoza taifa hilo la Afrika Mashariki kati ya mwaka 2002 na 2013.

  • Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika nyuga za utalii na uwekezaji

    Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika nyuga za utalii na uwekezaji

    Apr 19, 2022 03:38

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kenya zimeazimia kusaini makubaliano ya maelewano juu ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga za uwezekaji na utalii.

  • Uhaba wa mafuta ya petroli wawalazimisha Wakenya kwenda Tanzania kuyatafuta

    Uhaba wa mafuta ya petroli wawalazimisha Wakenya kwenda Tanzania kuyatafuta

    Apr 02, 2022 08:33

    Uhaba wa mafuta ya petroli katika Kaunti ya Kwale, Pwani ya Kenya umewalazimisha madereva kusafiri hadi katika nchi jirani ya Tanzania kupitia mpaka wa Lungalunga ili kutafuta bidhaa hiyo muhimu, huku wafanyabiashara wakipandisha bei kutokana na uhaba mkubwa wa bidhaa hiyo nchini Kenya.

  • Raila avunja kimya, awapongeza majaji waliokomesha mchakato wa BBI

    Raila avunja kimya, awapongeza majaji waliokomesha mchakato wa BBI

    Apr 01, 2022 05:56

    Kinara wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga amevunja kimya chake kufuatia uamuzi uliotolewa jana Alkhamisi na Mahakama ya Juu ya Kenya kuwa BBI sio halali na haikuzingatia sheria.

  • Mjane za Mzee Jommo Kenyatta atetea hatua ya Uhuru ya kumuunga mkono Raila

    Mjane za Mzee Jommo Kenyatta atetea hatua ya Uhuru ya kumuunga mkono Raila

    Mar 23, 2022 08:44

    Aliyekuwa mama wa taifa la Kenya, Mama Ngina Kenyatta, ametetea uamuzi wa mwanawe, Rais Uhuru Kenyatta wa kutengana na naibu wake, William Ruto na kumuunga mkono kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao.

  • Raila Odinga amtimulia kivumbi Ruto, kaunti ya Mombasa

    Raila Odinga amtimulia kivumbi Ruto, kaunti ya Mombasa

    Mar 21, 2022 02:50

    Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, ana kibarua kigumu kumpiku Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga kwa umaarufu katika Kaunti ya Mombasa kabla uchaguzi ujao wa urais kwa mujibu wa matokeo ya utafiti.

  • Kenya yawawinda wanaoeneza chuki kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 9

    Kenya yawawinda wanaoeneza chuki kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 9

    Mar 19, 2022 09:30

    Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa ya Kenya (NCIC), inachunguza watu 51 kwa tuhuma za kusambaza matamshi ya chuki huku kaunti sita zikikihofiwa kukumbwa na vurugu za kisiasa katika kipindi hiki nyeti cha kampeni kali za kuwapigia debe wanasia wanaowania kiti cha rais wa nchi hiyo.

  • Sitamwacha Uhuru Kenyatta iwapo nitashinda uchaguzi wa rais wa Agosti 9

    Sitamwacha Uhuru Kenyatta iwapo nitashinda uchaguzi wa rais wa Agosti 9

    Mar 16, 2022 09:11

    Kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, amesema kuwa hatamwacha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya iwapo atashinda uchaguzi wa Agosti 9, 2022.

  • Ripoti ya Mkaguzi Mkuu: 47% ya Wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta wanatoka kabila moja

    Ripoti ya Mkaguzi Mkuu: 47% ya Wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta wanatoka kabila moja

    Mar 10, 2022 11:03

    Ripoti mpya inaonyesha kuwa kabila moja linaunda karibu nusu ya wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH nchini Kenya.

  • Rais Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Odinga katika uchaguzi wa rais Kenya

    Rais Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Odinga katika uchaguzi wa rais Kenya

    Feb 23, 2022 10:45

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza rasmi kumuunga mkono kinara wa chama cha upinzani cha ODM, Raila Odinga katika azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS