-
Wakenya milioni 14 wanasumbulia na njaa huku mgogoro wa chakula ukishtadi
Jul 11, 2022 06:39Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema Kenya ni miongoni mwa nchi 63 duniani zenye idadi kubwa ya watu wanaokabiliwa na lishe duni kutokana na uhaba wa chakula.
-
Watu 18 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Pwani ya Kenya
Jul 09, 2022 03:01Watu 18 wamepoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha gari dogo la abiria na lori katika kaunti ya Kwale, Pwani ya Kenya.
-
Wakenya waijia juu Fox News ya Marekani kwa upotoshaji
Jul 08, 2022 05:33Viongozi na wananchi wa Kenya wameishutumu na kuikosoa vikali kanali ya televisheni ya Fox News ya Marekani kwa kueneza madai ya upotoshaji.
-
EAC yataka waasi wa M23 waondoke mara moja mashariki mwa DRC
Jun 21, 2022 03:32Jumuiya ya Afrika Mashariki imelitaka kundi la waasi la M23 liondoke mara moja katika mji wa Bunagana unaodhibitiwa na wanamgambo hao, huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Abdollahian: Iran iko tayari kuipatia Kenya misaada ya kibinadamu zikiwemo chanjo cha Covid-19
Jun 03, 2022 02:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuIpatia Kenya misaada ya kibinadamu katika uga wa tiba zikiwemo chanjo za Covid-19.
-
UN yataka Kenya, Somalia na Ethiopia zisaidiwe kukabili ukame
May 21, 2022 08:00Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa dharura wa kupatikana fedha ili kusaidia mataifa ya Pembe ya Afrika ambayo kwa miezi yameshuhudia hali ya ukame inayotishia kuwa mbaya zaidi.
-
Maoni: Raila amempiku Ruto katika urais Kenya kwa kuteua mgombea mwenza mwanamke
May 18, 2022 08:20Umaarufu wa kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais umeongezeka kwa asilimia tatu na kufikia asilimia 39 dhidi ya mpinzani wake mkuu naibu rais wa taifa hilo, William Ruto, ambaye umaarufu wake umepungua kutoka asilimia 39 na kufikia asilimia 35.
-
Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia akiwa na miaka 90
Apr 22, 2022 08:40Rais mstaafu wa Kenya, Emilio Mwai Kibaki amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Mzee Kibaki aliyezaliwa Novemba 15, 1931, aliliongoza taifa hilo la Afrika Mashariki kati ya mwaka 2002 na 2013.
-
Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika nyuga za utalii na uwekezaji
Apr 19, 2022 03:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kenya zimeazimia kusaini makubaliano ya maelewano juu ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga za uwezekaji na utalii.
-
Uhaba wa mafuta ya petroli wawalazimisha Wakenya kwenda Tanzania kuyatafuta
Apr 02, 2022 08:33Uhaba wa mafuta ya petroli katika Kaunti ya Kwale, Pwani ya Kenya umewalazimisha madereva kusafiri hadi katika nchi jirani ya Tanzania kupitia mpaka wa Lungalunga ili kutafuta bidhaa hiyo muhimu, huku wafanyabiashara wakipandisha bei kutokana na uhaba mkubwa wa bidhaa hiyo nchini Kenya.