-
Raila avunja kimya, awapongeza majaji waliokomesha mchakato wa BBI
Apr 01, 2022 05:56Kinara wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga amevunja kimya chake kufuatia uamuzi uliotolewa jana Alkhamisi na Mahakama ya Juu ya Kenya kuwa BBI sio halali na haikuzingatia sheria.
-
Mjane za Mzee Jommo Kenyatta atetea hatua ya Uhuru ya kumuunga mkono Raila
Mar 23, 2022 08:44Aliyekuwa mama wa taifa la Kenya, Mama Ngina Kenyatta, ametetea uamuzi wa mwanawe, Rais Uhuru Kenyatta wa kutengana na naibu wake, William Ruto na kumuunga mkono kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao.
-
Raila Odinga amtimulia kivumbi Ruto, kaunti ya Mombasa
Mar 21, 2022 02:50Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, ana kibarua kigumu kumpiku Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga kwa umaarufu katika Kaunti ya Mombasa kabla uchaguzi ujao wa urais kwa mujibu wa matokeo ya utafiti.
-
Kenya yawawinda wanaoeneza chuki kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 9
Mar 19, 2022 09:30Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa ya Kenya (NCIC), inachunguza watu 51 kwa tuhuma za kusambaza matamshi ya chuki huku kaunti sita zikikihofiwa kukumbwa na vurugu za kisiasa katika kipindi hiki nyeti cha kampeni kali za kuwapigia debe wanasia wanaowania kiti cha rais wa nchi hiyo.
-
Sitamwacha Uhuru Kenyatta iwapo nitashinda uchaguzi wa rais wa Agosti 9
Mar 16, 2022 09:11Kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, amesema kuwa hatamwacha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya iwapo atashinda uchaguzi wa Agosti 9, 2022.
-
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu: 47% ya Wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta wanatoka kabila moja
Mar 10, 2022 11:03Ripoti mpya inaonyesha kuwa kabila moja linaunda karibu nusu ya wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH nchini Kenya.
-
Rais Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Odinga katika uchaguzi wa rais Kenya
Feb 23, 2022 10:45Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza rasmi kumuunga mkono kinara wa chama cha upinzani cha ODM, Raila Odinga katika azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka huu.
-
Shahidi katika Kesi ya Paul Gicheru mahakama ya ICC amhusisha William Ruto na kutoa hongo
Feb 22, 2022 09:29Shahidi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) amelipua bomu baada ya kumhusisha Naibu Rais wa Kenya, William Ruto na kashfa ya kutoa hongo katika njama za kuvuruga kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu baada ya uchaguzi wa mwaka 2007.
-
FAO yatoa wito wa kuwasaidia waathirika wa ukame katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia
Feb 04, 2022 04:23Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO katika Ukanda wa Afrika Mashariki limetoa wito kwa wananchi, taasisi binafsi na mashirika ya dini kuchangia wananchi walioathirika na ukame pamoja na mazao yao kuharibiwa na nzige katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia.
-
Bomu la kutegwa ardhini laua watu 4 kaskazini mwa Kenya
Feb 03, 2022 09:21Watu wasiopungua wanne wamepoteza maisha baada ya gari lililokuwa limewabeba kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika Kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya.