-
Kenya yakaribisha wawekezaji kutoka Iran katika sekta za mafuta, dawa na vifaa vya tiba
Jan 20, 2022 23:48Mwambata wa kiuchumi katika ubalozi wa Kenya mjini Tehran amesema nchi yake inakaribisha wawekezaji kutoka Iran kwenda kuwekeza vitega uchumi katika nchi hiyo.
-
Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia
Jan 11, 2022 10:47Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.
-
Kenya yajibu mapigo, yasimamisha safari za ndege kutoka Imarati
Jan 11, 2022 04:22Kenya imesimamisha safari zote za ndege za abiria kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu, kujibu hatua ya Imarati ya kuzuia kwa muda usiojulikana ndege zote za kutoka nchi hiyo ya Afrika Mashariki kutua nchini humo, kwa madai ya vyeti bandia vya Corona.
-
Biashara ya Kenya na Tanzania yaimarika kufuatia agizo la Rais Samia
Jan 09, 2022 04:34Biashara baina ya Kenya na Tanzania inazidi kuimarika miezi kadhaa baada ya kuja madarakani Rais Samia Suluhu Hassan nchini Tanzania.
-
Askari polisi wanne wa Kenya wauawa, magaidi wa Ash-Shabaab washukiwa kuhusika
Jan 07, 2022 23:54Maafisa wanne wa polisi ya Kenya wameuawa katika shambulio la kuvizia katika eneo la pwani ya nchi hiyo linalopakana na Somalia, amblo hulengwa mara kwa mara na wanamgambo wa kundi la kigaidi la Ash-Shabaab.
-
Watu 6 wauawa katika shambulio la al-Shabaab Lamu, Kenya
Jan 03, 2022 07:34Kwa akali watu sita wameuawa katika shambulio la kundi la kigaidi la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu, Pwani ya Kenya.
-
Mjadala kuhusu mswada katika bunge la Kenya waibua mapigano
Dec 29, 2021 12:44Kikao cha Bunge la Kenya kimebadilika na kuwa ulingo wa ndondi baada ya wabunge kadhaa kuanza kupigana wakati mjadala ukiendelea kuhusu muswada wa muungano ulioibua mgawanyiko.
-
Waziri wa Afya Kenya: Hoteli na migahawa isiwapokee watu ambao hawajachanjwa
Dec 28, 2021 04:32Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Afya, imeagiza migahawa na hoteli kutotoa huduma kwa wateja ambao hawajachanjwa kama njia ya kukabiliana na maambukizi ya COVID-19 nchini humo hususan katika kipindi hiki cha sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
-
Hafla ya ufunguzi ya somo la lugha ya Kifarsi kwa raia wa Kenya
Dec 04, 2021 23:59Hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya lugha ya Kifarsi kwa raia wa Kenya imefanyika kwa hotuba ya Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu huko Kenya.
-
Covid-19; Wasiochanja kutopewa huduma muhimu za serikali Kenya
Nov 22, 2021 08:58Wananchi wa Kenya ambao hawajapiga dozi kamili ya chanjo ya Covid-19 watanyimwa hudumu muhimu zinazotolewa na taasisi za serikali ya nchi hiyo kuanzia mwezi ujao wa Disemba.