Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Kenya na Marekani zajadili namna ya kukomesha machafuko Sudan na Ethiopia

    Kenya na Marekani zajadili namna ya kukomesha machafuko Sudan na Ethiopia

    Nov 18, 2021 04:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru wa Kenyatta wa Kenya kujadili namna ya kuhitimisha machafuko katika nchi za Sudan na Ethiopia.

  • Uchumi wa Kenya wastawi kwa asilimia 10

    Uchumi wa Kenya wastawi kwa asilimia 10

    Nov 11, 2021 04:36

    Uchumi wa Kenya ulistawi kwa kiwango cha asilimia 10.1 katika robo ya pili ya mwaka huu 2021.

  • Familia ya mwanamke wa Kenya aliyeuawa yalishtaki jeshi la Uingereza

    Familia ya mwanamke wa Kenya aliyeuawa yalishtaki jeshi la Uingereza

    Nov 10, 2021 10:54

    Familia ya mwanamke wa Kenya anayedaiwa kuuawa na askari wa Uingereza imelishtaki jeshi la UK ikitaka lishurutishwe kutoa majibu ya kitendawili cha mauaji hayo.

  • Miguna Miguna: Uchaguzi wa rais 2022 Kenya hautakuwa huru na wa haki

    Miguna Miguna: Uchaguzi wa rais 2022 Kenya hautakuwa huru na wa haki

    Oct 28, 2021 07:38

    Wakili maarufu Mkenya, Miguna Miguna amedai kuwa uchaguzi wa urais wa 2022 hautakuwa wa kuaminika na kitakachofanyika ni kutawazwa kwa mgombea mmoja.

  • Somalia yatoa wito wa kushirikiana na Kenya baada ya uamuzi wa ICJ

    Somalia yatoa wito wa kushirikiana na Kenya baada ya uamuzi wa ICJ

    Oct 13, 2021 22:52

    Rais wa Somalia amesema katika hotuba yake aliyotoa jana Jumatano kwamba, uamuzi uliotolewa siku ya Jumanne na Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu mzozo wa mpaka na Kenya ni fursa kwa nchi mbili hizo kushirikiana.

  • Kenya yapinga uamuzi wa ICJ kuhusu mzozo wa mpaka wa baharini na Somalia

    Kenya yapinga uamuzi wa ICJ kuhusu mzozo wa mpaka wa baharini na Somalia

    Oct 13, 2021 09:28

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amepinga uamuzi uliotolewa jana Jumanne na Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ), kuhusu mzozo wa muda mrefu wa nchi hiyo na Somalia juu ya mpaka wa baharini wa pande hizo mbili.

  • ICJ yakataa madai ya Kenya katika mzozo wa mpaka wa baharini na Somalia

    ICJ yakataa madai ya Kenya katika mzozo wa mpaka wa baharini na Somalia

    Oct 12, 2021 12:41

    Mahakama ya UN imetoa uamuzi kwa maslahi ya Somalia katika mzozo wa muda mrefu wa nchi hiyo na Kenya juu ya mpaka wa baharini wa pande hizo mbili.

  • Odinga: Uchaguzi wa 2022 utakuwa huru na wa haki, vijana watapewa nafasi zaidi

    Odinga: Uchaguzi wa 2022 utakuwa huru na wa haki, vijana watapewa nafasi zaidi

    Oct 12, 2021 10:20

    Kiongozi wa chama cha upinzani cha ODM, Raila Odinga amewahakikishia Wakenya kuwa uchaguzi wa urais wa 2022 utakuwa huru na wa haki.

  • Kenya yapinga mamlaka ya Mahakama ya UN kabla ya kutoa uamuzi kuhusu mpaka wa Somalia

    Kenya yapinga mamlaka ya Mahakama ya UN kabla ya kutoa uamuzi kuhusu mpaka wa Somalia

    Oct 08, 2021 23:59

    Kenya jana Ijumaa ilisema kuwa inapinga mamlaka rasmi ya utoaji maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kabla ya kutoa uamuzi wiki ijayo kuhusu mzozo wa muda mrefu wa eneo la bahari kati yake na Somalia.

  • Wabunge wa Kenya wataka Waziri wa Mambo ya Ndani atimuliwe

    Wabunge wa Kenya wataka Waziri wa Mambo ya Ndani atimuliwe

    Oct 08, 2021 13:11

    Baadhi ya Wabunge wa Kenya wanajianda kumuondoa mamlakani Waziri wa Masuala ya Ndani wa nchi hiyo, Fred Matiang'i.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS