-
Wakenya wapewa matumaini ya kupungua bei ya mafuta na ughali wa maisha
Oct 03, 2021 11:22Wananchi wa Kenya wamepata matumaini ya kupungua bei ya mafuta nchini humo ambayo imekuwa mzigo kwa raia baada ya Mamlaka ya Kusimamia Kawi na Petroli Nchini (EPRA) kupandisha bei ya bidhaa hiyo.
-
Kenya yachukua urais wa UNSC, yatoa msimamo wake kuhusu hatima ya wakimbizi Wasomali
Oct 02, 2021 00:05Balozi wa Kenya katika Umoja wa Mataifa amesema, katika kipindi cha urais wa mwezi mmoja wa nchi hiyo kwenye Baraza la Usalama la umoja huo mnamo mwezi huu wa Oktoba, itaitishwa mikutano minne ya ngazi ya juu ambapo miwili itahutubiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo na mingine miwili itakuwa ni ya ngazi ya mawaziri itakayohutubiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa taifa hilo la Afrika Mashariki Balozi Raychelle Omamo.
-
Rais Kenyatta anawataka Wakenya kutekeleza jukumu lao katika kulinda usalama wa nchi
Sep 23, 2021 11:24Rais Uhuru Kenyatta amekumbusha Wakenya kutekeleza jukumu lao la kiraia la kuilinda nchi akisema usalama wa Kenya, uhuru wake na ustawi sio suala makhsusi kwa taasisi za usalama za serikali.
-
HRW yaikosoa Kenya kwa kushindwa kukabiliana na ongezeko la unyanyasaji wa kijinsia
Sep 21, 2021 23:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeilaumu serikali ya Kenya kwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na ongezeko la vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vilivyojiri wakati wa maambukizi ya corona hususan wakati wa utekelezaji wa zuio la kusalia majumbani ili kuzuia maambukizi ya COVID-19.
-
Waziri wa zamani wa michezo Kenya ahepa kifungo cha miaka 6 jela kwa hatia ya ufisadi
Sep 16, 2021 09:05Habari za karibuni zinasema kuwa, aliyekuwa Waziri wa Michezo wa Kenya Hassan Wario sasa yuko huru baada ya kulipa faini ya shilingi milioni 3 saa chache baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kuhusiana na sakata ya Rio 2016.
-
Viongozi wa Kiislamu Kenya: Visa vya kupotezwa washukiwa vimeongezeka
Sep 13, 2021 06:39Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wameishutumu serikali kwa kuongezeka kwa visa vya kupotezwa washukiwa wa ugaidi nchini humo.
-
Maelfu ya Wakenya wataka kuelekea Saudia kutafuta kibarua licha ya manyanyaso wanayokumbana nayo
Sep 09, 2021 08:11Licha ya simulizi za kuatua moyo kuhusu madhila wanayopitia wakiwa huko Saudi Arabia, maelfu ya Wakenya wamekwama Nairobi wakilalamikia kuchelewa kupata tiketi ya ndege kwenda kufanyia kazi Uarabuni.
-
Waislamu Kenya walaani MUHURI kuajiri ‘mtetezi wa mashoga’
Sep 01, 2021 03:02Waislamu nchini Kenya wameliomba Baraza Kuu la Waislamu nchini humo (SUPKEM) liingilie kati kuhusu uamuzi wa shirika la kutetea haki za Waislamu la Muslims for Human Rights (MUHURI) wa kuajiri Mkurugenzi Mkuu anayedaiwa kuwa mtetezi wa wapenzi wa jinsia moja.
-
Odinga asema Wakenya watajutia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa wa kukataa BBI
Aug 27, 2021 07:37Kiongozi wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga amesema kugonga mwamba mchakato wa kurekebisha Katiba kupitia Mpango wa Maridhiano (BBI) kutakuwa na taathiri mbaya kwa mandhari ya kijamii na kisiasa ya Kenya katika siku zijazo.
-
Raila aendelea kutafuta njia ya kujinasua kwenye mkwamo wa BBI
Aug 23, 2021 08:51Kiongozi wa Chama cha ODM nchini Kenya Bw Raila Odinga, natarajiwa kukutana na wabunge wote wa chama chake wiki hii, baada ya mchakato wa kurekebisha Katiba kupitia Mpango wa Maridhiano (BBI) kugonga mwamba.