Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Wakenya 66,000 kupoteza ajira ikiwa makubaliano ya AGOA hayatatazamwa upya

    Wakenya 66,000 kupoteza ajira ikiwa makubaliano ya AGOA hayatatazamwa upya

    Sep 08, 2025 12:22

    Sheria ya Ukuaji na Fursa Barani Afrika (AGOA) inatazamiwa kumalizika muda wake ifikapo tarehe 30 mwezi huu wa Septemba, na hivyo kuhitimisha mpango muhimu wa biashara bila ushuru kati ya Kenya na Marekani.

  • Watu wa Afrika walaani jinai za utawala wa Israel dhidi ya Yemen na Gaza

    Watu wa Afrika walaani jinai za utawala wa Israel dhidi ya Yemen na Gaza

    Sep 05, 2025 10:24

    Wananchi wa nchi kadhaa za Afrika wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Yemen na Gaza, wakionesha mshikamano wa wazi na harakati za ukombozi wa Wapalestina.

  • DRC yapinga kupelekwa balozi mdogo wa Kenya mjini Goma

    DRC yapinga kupelekwa balozi mdogo wa Kenya mjini Goma

    Aug 17, 2025 11:37

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepinga hatua ya Kenya ya kumteua balozi mdogo anayetazamiwa kutumwa katika mji wa Goma ulioko mashariki mwa DRC, ikiuelezea uamuzi huo kuwa "usiofaa".

  • IPOA yafichua: Polisi wa Kenya waliua watu 65 katika maandamano Juni, Julai

    IPOA yafichua: Polisi wa Kenya waliua watu 65 katika maandamano Juni, Julai

    Jul 25, 2025 05:44

    Ripoti mpya ya Mamlaka Huru ya Kuchunguza Utendakazi wa Polisi (IPOA) imefichua kwamba watu 65 walipoteza maisha, 41 kati yao kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi, huku raia 342 wakijeruhiwa vibaya wakati wa maandamano ya Juni 25 na Julai 7 mwaka huu dhidi ya serikali ya Rais William Ruto wa Kenya.

  • Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega nchini Kenya zathibitisha maambukizo ya ugonjwa wa Mpox

    Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega nchini Kenya zathibitisha maambukizo ya ugonjwa wa Mpox

    Jul 23, 2025 12:07

    Magharibi mwa Kenya sasa ndio kitovu cha mlipuko wa ugonjwa wa Mpox huku kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega nchini humo zikithibitisha kuwa na wagonjwa kadhaa walioambukizwa ugonjwa huo unaosababishwa na virusi.

  • Mwanaharakati wa haki za binadamu Kenya aachiwa kwa dhamana, ashtakiwa kwa kumiliki silaha kinyume cha sheria

    Mwanaharakati wa haki za binadamu Kenya aachiwa kwa dhamana, ashtakiwa kwa kumiliki silaha kinyume cha sheria

    Jul 21, 2025 13:38

    Boniface Mwangi, mwanaharakati wa haki za binadamu wa Kenya ambaye amekuwa na nafasi kuu katika maandamano dhidi ya serikali, ameachiwa huru kwa dhamana leo Jumatatu baada ya kushtakiwa kwa kupatikana na gesi ya kutoa machozi na silaha nyumbani kwake.

  • Umri wa unywaji pombe Kenya wapendekezwa kuongezwa kutoka miaka 18 hadi 21

    Umri wa unywaji pombe Kenya wapendekezwa kuongezwa kutoka miaka 18 hadi 21

    Jul 17, 2025 11:37

    Mamlaka ya Taifa ya Kupambana na Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya nchini Kenya (NACADA) imetetea pendekezo lake la kutaka umri wa kisheria wa kunywa pombe nchini humo uongezwe kutoka miaka 18 hadi 21, ikitaja utafiti wa kiafya, maoni ya umma na viwango vya kimataifa kama msingi wa pendekezo hilo.

  • Kadhaa wauawa katika shambulio la al-Shabaab, Garissa Kenya

    Kadhaa wauawa katika shambulio la al-Shabaab, Garissa Kenya

    Jul 14, 2025 15:12

    Watu wawili wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio linaloshukiwa kuwa la magaidi wa al-Shabaab katika Kaunti ya Garissa, kaskazini mashariki mwa Kenya.

  • Baadhi ya Waislamu Kenya wapendekeza Kadhi Mkuu ajaye atoke nje ya Pwani

    Baadhi ya Waislamu Kenya wapendekeza Kadhi Mkuu ajaye atoke nje ya Pwani

    Jul 14, 2025 06:56

    Baada ya kupita siku chache tu tangu alipoaga dunia Kadhi Mkuu wa Kenye Sheikh Abdulhalim Hussein Athman, baadhi ya Waislamu wamependekeza kadhi ajaye atoke nje ya eneo la Pwani.

  • Mkuu wa Mawaziri Kenya atofautiana na Rais Ruto kuhusu kuwapiga risasi waandamanaji

    Mkuu wa Mawaziri Kenya atofautiana na Rais Ruto kuhusu kuwapiga risasi waandamanaji

    Jul 14, 2025 03:13

    Mkuu wa Mawaziri wa Mawaziri nchini Kenya, Musalia Mudavadi ametofautiana na Rais William Ruto kuhusu wito wake wa kupigwa risasi viijana wanaoandamana kupinga sera za serikali yake na amevitaka vyombo vya usalama visiwaumize Wakenya wakati wa maandamano.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS