Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Uhuru Kenyatta aongoza katika uchaguzi wa rais Kenya, upinzani wapinga matokeo

    Uhuru Kenyatta aongoza katika uchaguzi wa rais Kenya, upinzani wapinga matokeo

    Aug 08, 2017 22:58

    Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amepinga matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais uliofanyika jana Jumanne, yanayoonyesha kuwa Rais wa sasa Uhuru Kenyatta anaongoza.

  • SAUTI, Matukio ya uchaguzi mkuu nchini Kenya

    SAUTI, Matukio ya uchaguzi mkuu nchini Kenya

    Aug 08, 2017 12:38

    Mamilioni ya Wakenya leo wameshiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, madiwani, maseneta, wabunge, magavana na wawakilishi wa wanawake.

  • Uchaguzi mkuu wa Kenya wafanyika katika hali ya msisimko wa kipekee

    Uchaguzi mkuu wa Kenya wafanyika katika hali ya msisimko wa kipekee

    Aug 08, 2017 11:59

    Mamilioni ya Wakenya leo wameshiriki kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, madiwani, maseneta, wabunge, magavana na wawakilishi wa wanawake.

  • UN: Tunafuatilia kwa karibu uchaguzi wa Kenya

    UN: Tunafuatilia kwa karibu uchaguzi wa Kenya

    Aug 08, 2017 03:21

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema umoja huo unafuatilia kwa karibu zoezi la uchaguzi mkuu linalofanyika hii leo nchini Kenya.

  • Igad yataka kufanyika uchaguzi wa amani Kenya

    Igad yataka kufanyika uchaguzi wa amani Kenya

    Aug 08, 2017 00:09

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiserikali wa Nchi za Mashariki na Pembe ya Afrika (Igad) imewatolea wito washika dau wote katika uchaguzi mkuu wa Kenya kuhakikisha kuwa uchaguzi wa leo unafanyika kwa amani na utulivu.

  • Wakenya wakusanya akiba ya chakula kabla ya uchaguzi mkuu kesho Jumanne

    Wakenya wakusanya akiba ya chakula kabla ya uchaguzi mkuu kesho Jumanne

    Aug 07, 2017 12:11

    Wananchi wa Kenya ambao wamejawa na wasiwasi leo wamekuwa wakikusanya na kujiwekea akiba ya chakula huku polisi wakiwa tayari wameandaa masanduku ya huduma ya kwanza siku moja kabla ya uchaguzi mku wa kesho ambao wengi wanahofu kwamba huwenda ukaitumbukiza tena nchi hiyo katika hali ya mchafukoge.

  • Le Monde: Baadhi ya Wakenya wanakimbia makazi yao kwa kuogopa machafuko ya uchaguzi

    Le Monde: Baadhi ya Wakenya wanakimbia makazi yao kwa kuogopa machafuko ya uchaguzi

    Aug 05, 2017 23:16

    Kumbukumbu chungu na mbaya za uchaguzi wa rais wa mwaka 2007 nchini Kenya zinawalazimisha baadhi ya raia wa nchi hiyo kukimbia makazi na miji yao.

  • Kenya yamtimua mtaalamu wa data za uchaguzi wa Marekani, alifanya kazi na NASA

    Kenya yamtimua mtaalamu wa data za uchaguzi wa Marekani, alifanya kazi na NASA

    Aug 05, 2017 09:58

    Polisi ya Kenya uimemtia nguvuni na kumtimua nchini humo mtaalamu wa data za uchaguzi wa Marekani na mwenzake wa Canada waliokuwa wakifanya kazi na muungano wa upinzani wa Nasa, zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 8.

  • AU: Wakenya wanataka uchaguzi huru, wa haki na wenye uwazi

    AU: Wakenya wanataka uchaguzi huru, wa haki na wenye uwazi

    Aug 05, 2017 03:41

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini ambaye anaongoza timu ya waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika AU nchini Kenya amesema wananchi wa taifa hilo la Afrika Mashariki wanataka kuona zoezi hilo la Jumanne ijayo linafanyika katika mazingira huru, yenye haki na uwazi.

  • Al-Shabaab washadidisha hujuma kabla ya uchaguzi, waua watu 4 Kenya

    Al-Shabaab washadidisha hujuma kabla ya uchaguzi, waua watu 4 Kenya

    Aug 03, 2017 02:52

    Huku uchaguzi mkuu wa Agosti 8 ukizidi kujongea nchini Kenya, kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab linaonekana kushadidisha mashambulizi yake dhidi ya raia na maafisa usalama wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS