Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Hali ya wasiwasi yashtadi katika kukaribia uchaguzi mkuu Kenya

    Hali ya wasiwasi yashtadi katika kukaribia uchaguzi mkuu Kenya

    Aug 02, 2017 09:57

    Hali ya wasiwasi imeongezeka huko Kenya ikiwa zimesalia siku chache hadi kufanyika uchaguzi mkuu nchini humo tarehe 8 Agosti.

  • Wawili waliuawa katika shambulio nyumbani kwa Makamu wa Rais wa Kenya

    Wawili waliuawa katika shambulio nyumbani kwa Makamu wa Rais wa Kenya

    Jul 31, 2017 10:52

    Watu wawili waliuawa juzi katika shambulio lililofanywa katika makazi ya Makamu wa Rais wa Kenya, William Rutto. Hayo yameelezwa na polisi siku kadhaa kabla ya nchi hiyo ya Kiafrika kuendesha uchaguzi wa Rais tarehe nane Agosti.

  • SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu kuanzia kilio cha Waislamu Kenya, Uganda na ongezeko la talaka za kiholela Zanzibar

    SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu kuanzia kilio cha Waislamu Kenya, Uganda na ongezeko la talaka za kiholela Zanzibar

    Jul 29, 2017 10:54

    Ripoti ya matukio ya Kiislamu kuanzia malalamiko ya Waislamu kwa ofisi ya uhamiaji nchini Kenya ambayo inatajwa kufanya makusudi kuchelewesha kuwapatia pasi za kusafiria Waislamu zaidi ya 100 wanaotaka kwenda kushiriki ibada ya Hijja ya mwaka huu huo Saudia.

  • Makazi ya Makamu wa Rais Kenya, William Ruto yavamiwa na watu wenye silaha

    Makazi ya Makamu wa Rais Kenya, William Ruto yavamiwa na watu wenye silaha

    Jul 29, 2017 09:03

    Watu wenye silaha wasiojulikana wamevamia leo nchana nyumba ya Makamu wa Rais nchini Kenya William Ruto katika eneo la Sugoi, Kaunti ya Uasin Gishu.

  • SAUTI, Waislamu nchini Kenya wakosoa vikali hatua ya Baraza la CIPK kujihusisha na siasa kwa kumpigia debe Rais Kenyatta

    SAUTI, Waislamu nchini Kenya wakosoa vikali hatua ya Baraza la CIPK kujihusisha na siasa kwa kumpigia debe Rais Kenyatta

    Jul 28, 2017 11:31

    Waumini wa dini ya Kiislamu nchini Kenya wamekosoa na kulaani kitendo cha Baraza la Maimamu na Wahubiri nchini Kenya CIPK kujitosa hadharani na kutangaza kumpigia debe Rais Uhuru Kenyetta wa nchi hiyo.

  • Tanzania yakanusha kupendelea upinzani katika uchaguzi wa Kenya

    Tanzania yakanusha kupendelea upinzani katika uchaguzi wa Kenya

    Jul 18, 2017 11:31

    Serikali ya Tanzania imekanusha madai ya kuunga mkono muungano wa upinzani nchini Kenya katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 8.

  • Kenya na Iran zaafikiana kutotoza ushuru mara mbili

    Kenya na Iran zaafikiana kutotoza ushuru mara mbili

    Jul 15, 2017 23:46

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kenya zimetiliana saini mapatano ya kutotozana ushuru mara mbili na pia kuzuia watu au mashirika ya nchi mbili kukwepa kulipa ushuru unaotokana na mapato na uwekezaji.

  • Rais Kenyatta asema kisiwa cha Migingo ni milki ya Kenya, Uganda bado inadai inakimiliki

    Rais Kenyatta asema kisiwa cha Migingo ni milki ya Kenya, Uganda bado inadai inakimiliki

    Jul 12, 2017 10:28

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kisiwa cha Migingo katika Ziwa Viktoria ni milki ya Kenya.

  • Jaji Mkuu Kenya amuonya Rais Uhuru, usivunje imani ya wananchi

    Jaji Mkuu Kenya amuonya Rais Uhuru, usivunje imani ya wananchi

    Jul 10, 2017 03:43

    Jaji Mkuu wa Kenya amemuonya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo akimtaka kuacha kuvunja imani ya wananchi kwa mahakama za nchi hiyo.

  • Magaidi wachinja watu 9 Lamu, Kenya

    Magaidi wachinja watu 9 Lamu, Kenya

    Jul 08, 2017 12:14

    Watu wanaodhaniwa kuwa magaidi wa kundi la la Shabab wamewachinja kwa kuwakata vichwa watu 9 katika shambulizi lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika kijiji kimoja cha Kaunti ya Lamu huko pwani mwa Kenya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS