Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Al Shabab waua Polisi 2 katika hujuma huko Lamu, Kenya

    Al Shabab waua Polisi 2 katika hujuma huko Lamu, Kenya

    Jul 05, 2017 10:08

    Maafisa wawili wa polisi nchini Kenya wameuawa baada ya magaidi wanaoaminika kuwa wa kundi la Al Shabab kushambulia kituo cha polisi katika eneo la Pandanguo katika Kaunti ya Lamu.

  • EU yaonya uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya

    EU yaonya uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya

    Jul 03, 2017 10:48

    Umoja wa Ulaya umeonya kuhusu uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya na kusema kuwa, umetuma timu yake ya kwanza ya wasimamiaji wa uchaguzi nchini humo.

  • Wakenya ni watu wa kwanza Afrika kupata jenisi ya dawa mpya za Ukimwi

    Wakenya ni watu wa kwanza Afrika kupata jenisi ya dawa mpya za Ukimwi

    Jun 28, 2017 10:31

    Kenya ni nchi ya kwanza ya Kiafrika kuanza kutumia jenisi (generic) ya dawa mpya za ugonjwa wa Ukimwi ambazo zinaweza kuboresha na kurefusha maisha ya makumi ya maelfu ya watu wanaotaabika na madhara makubwa na kushindwa kwenda sambamba na dawa nyingine.

  • Watu watano wauawa aktika hujuma ya kigaidi Mandera, Kenya

    Watu watano wauawa aktika hujuma ya kigaidi Mandera, Kenya

    Jun 23, 2017 09:54

    Watu watano wanaripotiwa kuuawa nchini Kenya katika mji wa El Wak kaunti ya Mandera eneo la kaskazini mashariki kufuatia hujuma ya kundi la kigaidi la al-Shabab.

  • SUPKEM Kenya yataka kuweko mfumo mmoja wa masomo kwa shule za Kiislamu

    SUPKEM Kenya yataka kuweko mfumo mmoja wa masomo kwa shule za Kiislamu

    Jun 22, 2017 09:29

    Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya SUPKEM limetoa wito wa kuandaliwa mfumo mmoja wa masomo kwa ajili ya shule za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • SAUTI, Muungano wa upinzani nchini Kenya waionya serikali kumkamata kiongozi wake, wasema utamlinda

    SAUTI, Muungano wa upinzani nchini Kenya waionya serikali kumkamata kiongozi wake, wasema utamlinda

    Jun 19, 2017 12:35

    Mrengo wa upinzani nchini Kenya umejitokeza na kuishutumu serikali inayoongozwa na muungano wa Jubilee kwa kuendeleza sera za undumakuwili kuhusiana na sakata la matamshi ya kiongozi wake Raila Odinga aliyoyatoa hivi karibuni.

  • Kenya na Iran zajadili mgogoro kati ya Qatar, Saudia na wapambe wake

    Kenya na Iran zajadili mgogoro kati ya Qatar, Saudia na wapambe wake

    Jun 14, 2017 03:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuwa, mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa katika eneo hili la Mashariki ya Kati yumkini ukapelekea madola fulani kuongeza kiwango cha ununuzi wa silaha.

  • Watu 15 watoweka baada ya jengo kuporomoka Nairobi

    Watu 15 watoweka baada ya jengo kuporomoka Nairobi

    Jun 13, 2017 09:36

    Watu 15 hadi sasa hawajulikano waliko baada ya jengo la ghorofa saba kuporomoka katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi Jumatatu usiku.

  • Rais wa Kenya awakabidhi Waislamu wa jamii ya Nubi hati miliki ya ardhi Nairobi

    Rais wa Kenya awakabidhi Waislamu wa jamii ya Nubi hati miliki ya ardhi Nairobi

    Jun 02, 2017 09:58

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amewakabidhi Waislamu wa jamii ya Wanubi hati miliki ya ardhi yao ya jadi yenye ukubwa wa ekari 288 katika eneo la Kibra mjini Nairobi.

  • Kenya na Iran kuimarisha mahusiano ya pande zote

    Kenya na Iran kuimarisha mahusiano ya pande zote

    Jun 01, 2017 23:53

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya, Hadi Farajvand amesema kuwa, mahusiano ya Kenya na Iran hususan katika uga wa uchumi, yamestawi sana katika miaka ya hivi karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS